alpha walk
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 215
- 206
Mkuu,hili Banda lako si uligawe bure tu kuliko kupoteza muda kulianzishia Uzi kila siku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!banda la biashara linauzwa lipo kigamboni dar es salaam,ni kubwa na linahamishika,halina tatizo lolote bei ni 380,000 tu(maongezi yapo)!nipigie 0653110660View attachment 2304592View attachment 2304594View attachment 2304597View attachment 2304598
gawa bure hilo Banda lako acha kutuchoshabanda kubwa zuri la bati linauzwa bei 300,000 tu maongezi kdg yapo halina tatizo lolote!lipo kigamboni linahamishika kama unalihitaj nipigie 0653110660View attachment 2305966View attachment 2305967View attachment 2305968View attachment 2305969
kimfaacho mtu chakeHili Banda ligawe bure tu, unalianzishia Uzi kila siku na bado haliuziki duuuh[emoji1787][emoji1787]
muda unaodhani nimeupoteza kulianzishia uzi kila siku umeniwezesha kuliuza tyr na mteja nilimpata humuhumu,asante kwa wazo lako nihitaj kuuza mali nyingine hata simu yangu ntaigawa bureMkuu,hili Banda lako si uligawe bure tu kuliko kupoteza muda kulianzishia Uzi kila siku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!
asante kwa kuchangiaNalitaj nipo mbeya
asante kwa mchango wako
mi sio dalali ni mmiliki nashkuru nimeshaliuza tyr na hzo hzo kutuHahaha majib ya wananzengo NI balaa dalali umenoa pole nakushauri punguza uza 160000.maana mabati ya nyuma Yana kutu af ingekuwa ile ya style Kama za mageti ungekuwa poa
nakuchosha na nn mkuu ilhali nilipolipost sikukutag?ni ww mwenyewe kwa hiari yako umeamua kufungua uzi,ulikuwa na uwezo wa kupita tu bila kulisoma tangazo langu...nimeshaligawa tyr asantegawa bure hilo Banda lako acha kutuchosha
tyr nishaligawa bure mkuu kuwa na amani sasaHili Banda ligawe bure tu, unalianzishia Uzi kila siku na bado haliuziki duuuh[emoji1787][emoji1787]
nishaliuza tyr kakaUza mabati kaka ushauri wa bure