INAUZWA Banda linauzwa

INAUZWA Banda linauzwa

alpha walk

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
215
Reaction score
206
Banda la biashara linauzwa lipo kigamboni dar es salaam,ni kubwa na linahamishika,halina tatizo lolote bei ni 380,000 tu! Nipigie 0653110660. Kama haupo mbali sana na kigamboni nakuletea FREE!

20220502_130213.jpg
20211113_121116.jpg
20211113_121021.jpg
20211113_121002.jpg
 
Banda la biashara linauzwa lipo kigamboni dar es salaam,ni kubwa na linahamishika,halina tatizo lolote bei ni 380,000 tu(maongezi yapo)!nipigie 0653110660
20220502_130213.jpg
20211113_121116.jpg
20211113_121021.jpg
20211113_121002.jpg
 
banda kubwa zuri la bati linauzwa bei 300,000 tu maongezi kdg yapo halina tatizo lolote!lipo kigamboni linahamishika kama unalihitaj nipigie 0653110660
20220502_130213.jpg
20211113_121116.jpg
20211113_121021.jpg
20211113_121002.jpg
 
Hahaha majib ya wananzengo NI balaa dalali umenoa pole nakushauri punguza uza 160000.maana mabati ya nyuma Yana kutu af ingekuwa ile ya style Kama za mageti ungekuwa poa
 
Mkuu,hili Banda lako si uligawe bure tu kuliko kupoteza muda kulianzishia Uzi kila siku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!
muda unaodhani nimeupoteza kulianzishia uzi kila siku umeniwezesha kuliuza tyr na mteja nilimpata humuhumu,asante kwa wazo lako nihitaj kuuza mali nyingine hata simu yangu ntaigawa bure
 
Hahaha majib ya wananzengo NI balaa dalali umenoa pole nakushauri punguza uza 160000.maana mabati ya nyuma Yana kutu af ingekuwa ile ya style Kama za mageti ungekuwa poa
mi sio dalali ni mmiliki nashkuru nimeshaliuza tyr na hzo hzo kutu
 
gawa bure hilo Banda lako acha kutuchosha
nakuchosha na nn mkuu ilhali nilipolipost sikukutag?ni ww mwenyewe kwa hiari yako umeamua kufungua uzi,ulikuwa na uwezo wa kupita tu bila kulisoma tangazo langu...nimeshaligawa tyr asante
 
Back
Top Bottom