I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
nashukuru kwa mawazo yako . Kwa hiyo kazi yake ni nini mkuu?Bandama ni spleen,,na kazi yake physiologically haiusiani na kucheka
Kazi yake ni kuchuja damu na kuondoa seli nyekundu za damu zilizokufa,na pia zina chembe hai nyeupe za damu ambazo ni walinzi wa mwili..nashukuru kwa mawazo yako . Kwa hiyo kazi yake ni nini mkuu?
Bandama mkuuBandama au wengu?
Red blood cell production n insulin kama sijakoseanashukuru kwa mawazo yako . Kwa hiyo kazi yake ni nini mkuu?
Nimeelewa sasa. Asante sana.Kazi yake ni kuchuja damu na kuondoa seli nyekundu za damu zilizokufa,na pia zina chembe hai nyeupe za damu ambazo ni walinzi wa mwili..
shukrani mkuuRed blood cell production n insulin kama sijakosea
Kucheka kunatofautiana,,ila ile ya kujionyesha kabisa kuwa umecheka navyoona misuli ya koo(throat muscles) ikiondolewa mtu hataweza kucheka,pia jaw(taya)Nimeelewa sasa. Asante sana.
je, unaufahamu ni nini ambacho kikiondolewa mwilini mtu hushindwa kucheka?. Sababu kwa maelezo yako inaonyesha kuwa Bandama haihusiani na jambo hilo.
We jamaa shida yako hutaki watu wacheke,maana ulivong'ang'ania watu wasichekeNimeelewa sasa. Asante sana.
je, unaufahamu ni nini ambacho kikiondolewa mwilini mtu hushindwa kucheka?. Sababu kwa maelezo yako inaonyesha kuwa Bandama haihusiani na jambo hilo.
Du sasa kama hii ndiyo kazi ya bandama vipi likitolewa huyo MTU anaweza kuishi kwa muda mrefu kweli?Kazi yake ni kuchuja damu na kuondoa seli nyekundu za damu zilizokufa,na pia zina chembe hai nyeupe za damu ambazo ni walinzi wa mwili..
hahahahWe jamaa shida yako hutaki watu wacheke,maana ulivong'ang'ania watu wasicheke