I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Nimekuwa nikisikia kuwa mtu akifanyiwa upasuaji na kuondolewa bandama mtu anakuwa hawezi kucheka.
Je ni kweli huwa hivyo? Na nini kinasababisha kuwa hivyo?.
Wataalamu; naombeni mnielimishe juu ya jambo hili.
Je ni kweli huwa hivyo? Na nini kinasababisha kuwa hivyo?.
Wataalamu; naombeni mnielimishe juu ya jambo hili.