Bandari, ardhi, misitu na maliasili zetu, ni Mali ya URITHI, hazitauzwa wala kukodishwa kwa wageni, kataa wahuni

Ikiwa huo ndo UKWELI, kwann tusimpe bandari kagame Jirani,mwafrika mwenzetu Hadi twende Kwa Waarabu maili Elfu kadhaa?

Una HAKIKA sisi hatuwezi kuendesha bandari zetu wenyewe kupitia Kampuni za wazawa?

Ajaye Nina HAKIKA ataachana na Wawekezaji Hawa fake, sababu tunao mwanya ambao Magu aliweka kuwa Mikataba yote ithibitishwe na Bunge na maliasili zetu zilindwe. IGA imekiuka Hilo.

Maigizo yenu ni ya muda tu.
 
Wametudharau sana....

Sasa wameamuwa kutuletea FUTUHI la Makondeko.....
 
Wametudharau sana....

Sasa wameamuwa kutuletea FUTUHI la Makondeko.....
Wanatuzuga na futuhi Ili tusihoji hatua za Serikali dhidi ya mawaziri na watumishi walioguswa na Ripoti ya CAG,

Pia tusihoji zengwe la HGA kutopelekwa bungeni na kuangaliwa kama walivyodai awali.
 
Hii nchi inachezewa na familia zisizozidi 10 na mwasisi wa uchafu huu ni yule mzee mfitinishaji wa pale njiapanda, huyo ndiye kawafundisha viongozi wengine kuanza kuiuza nchi kidogokidogo
With all due respect, uza uza ilianza na Mzee .A.H. Mwinyi enzi za mwarabu wa Loliondo.
Akafuatia mjomba Ben .W. Mkapa, akaendeleza J.M.Kikwete akapumzisha J.P. Magufuli kaja kuendeleza S.S.Hassan.
 
With all due respect, uza uza ilianza na Mzee .A.H. Mwinyi enzi za mwarabu wa Loliondo.
Akafuatia mjomba Ben .W. Mkapa, akaendeleza J.M.Kikwete akapumzisha J.P. Magufuli kaja kuendeleza S.S.Hassan.
Sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…