Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Kipenga kipigweee....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa huo ndo UKWELI, kwann tusimpe bandari kagame Jirani,mwafrika mwenzetu Hadi twende Kwa Waarabu maili Elfu kadhaa?Uelewa wetu juu ya namna bandari inavyofanya kazi katika dunia ya 2020- ni wa kutakiwa kuendelezwa.
Tuna akili zile zile za Tool Port wakati Rais Samia anawazia bandari ya mfumo wa Landlord Port.
Paul Kagame alipomkejeli Kikwete akimwambia kwamba anaweza kuiendesha Tanzania kwa kutumia bandari tu, alikuwa na maono haya aliyoamua kuyafanyia kazi Rais Samia mwaka huu, tumpongeze kwa kutazama mbali sio kuishia kukejeli vitu ambavyo hatuvifahamu.
Wametudharau sana....Ikiwa huo ndo UKWELI, kwann tusimpe bandari kagame Jirani,mwafrika mwenzetu Hadi twende Kwa Waarabu maili Elfu kadhaa?
Una HAKIKA sisi hatuwezi kuendesha bandari zetu wenyewe kupitia Kampuni za wazawa?
Ajaye Nina HAKIKA ataachana na Wawekezaji Hawa fake, sababu tunao mwanya ambao Magu aliweka kuwa Mikataba yote ithibitishwe na Bunge na maliasili zetu zilindwe.
Maigizo yenu ni ya muda tu.
Wanatuzuga na futuhi Ili tusihoji hatua za Serikali dhidi ya mawaziri na watumishi walioguswa na Ripoti ya CAG,Wametudharau sana....
Sasa wameamuwa kutuletea FUTUHI la Makondeko.....
With all due respect, uza uza ilianza na Mzee .A.H. Mwinyi enzi za mwarabu wa Loliondo.Hii nchi inachezewa na familia zisizozidi 10 na mwasisi wa uchafu huu ni yule mzee mfitinishaji wa pale njiapanda, huyo ndiye kawafundisha viongozi wengine kuanza kuiuza nchi kidogokidogo
Kwakuwa Mali ya ukoo Huwa haiuzwi!!Maza kashapiga mnada sasa, sijui unasemaje mkuu?
Unaweza kuwa sawa kusema hivyo,Mambo ya serikali hayaendi hivyo...
SadWith all due respect, uza uza ilianza na Mzee .A.H. Mwinyi enzi za mwarabu wa Loliondo.
Akafuatia mjomba Ben .W. Mkapa, akaendeleza J.M.Kikwete akapumzisha J.P. Magufuli kaja kuendeleza S.S.Hassan.