Bandari, ardhi, misitu na maliasili zetu, ni Mali ya URITHI, hazitauzwa wala kukodishwa kwa wageni, kataa wahuni

Miaka yoooote uchaguzi haupo huruuu na mnapiga kura bado.

Miaka yotee mnaibiwa kura.
Maandamano yakianzishwa hata na yule MWAMBA WA KASKAZINI na akiswekwa ndani wote mikia katikati ya miguu mnabaki maandamano ya kwenye keybod ndio mabingwa hayo hata CHUKUA CHAKO MAPEMA mmewashinda na ndio mnayaweza na somo la matusi mmefuzu.
Ndo nawakumbusha ndugu Watanzania,

Waachane na maigizo ya kijana wa chama chakavu,

Tuhakikishe, No Tume huru ya Uchaguzi No Uchaguzi wowote kufanyika.

Na Tume huru, iwe huru Kweli Si maigizo ya Tume.@Elli.
 
Salaam, Shalom!!

Kuna uteuzi ulifanyika siku ya kusaini mkataba BATILI wa kukodisha URITHI wetu, Bandari Kwa wageni.

Uteuzi huo umekuja na wimbi la Matukio ya kutengeneza wenye Nia ya kutusahaulisha wanaukoo juu ya kilichofanyika.

Jambo muhimu juu ya nini Hasa kilisainiwa kwenye mkataba Ule kimebaki kuwa Siri, Viongozi wetu wa kiimani wamejaribu mara kadhaa kuomba mikataba hiyo Ili waisome na kujiridhisha ikiwa Issues zilizokuwa zikipigiwa kelele zimefanyiwa KAZI au la!!

Hadi sasa, hatujapata majibu, media zimechukuliwa na upepo wa uteuzi na maigizo ya kijana wa chama Fulani.

Tunataka kujua yafuatayo;

1. Je IGA ilifutwa au Bado IPO?

2. HGA zilipelekwa bungeni Ili kuangaliwa UPYA ikiwa zimekidhi SHERIA zetu kama nchi juu ya ulinzi wa Raslimali zetu?

3. Kwanini mgao wa umeme unaendelea ilhali mvua zimenyesha kubwa Nchi nzima?

4. Kwanini Mawaziri walioguswa na tuhuma mbalimbali mf Nishati, ujenzi, Fedha nknk hawajaondoshwa Hadi sasa?

5. Pesa zilozoibwa sawasawa na Ripoti ya CAG katika Halmashauri mbalimbali, zimesharudishwa kiasi Gani Hadi sasa?

6. Je ni sawa Rais kuendelea kuteua wahusika wa Tume ya Uchaguzi, I wapi Tume huru ya Uchaguzi?

7. Kwanini uchaguzi wa MITAA 2024 usisogezwe mbele 2025 Ili isimamiwe na Tume huru ya Uchaguzi na kupunguza gharama ya mara mbili?

Ndugu watanzani, tusikubali kuhamishwa kujadili issues muhimu , kamwe tusikubali kutekwa na maigizo ya chama chakavu kinachowaza uchaguzi bila kusema kimewatumikia wananchi Kwa kiwango Gani!!

Ni hayo Kwa sasa.

Karibuni.
Mimi niko kwa kwa issue na 1 na 2. Yaani piga ua lazima hayo mambo tujulishwe wananchi kinagaubaga. Je IGA na dubai nini mstakabali wake. Sio siku moja wanatokea dubai hapa wanadai tusifanye hiki na kile au tunashitakiwa kwa kuvunja makubaliano and then tunadaiwa mabilioni. Pili mkata kati ya DP na serikali kuhusu bandari ya dsm uliyoingiwa tuone uwekwe wazi. Kwa yale wananchi tuliyofanyiwa hatuna sababu kuiamini serikali. Tulifika mahali speaker kuwaita wazalendo wenye nia njema kabisa na taifa lao ni wapumbavu, kisa kuharibu picha mchezo wao mchafu. Mtu ni mwanasheria mkubwa tu anatumia hila kupitisha bungeni mkataba wenye masharti ya ovyo wa kulitia taifa kitanzini kwa urefu wa kamba yake ya malisho.
 
Hii mada ilipaswa iwe imeshaenda Viral mpaka sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niko kwa kwa issue na 1 na 2. Yaani piga ua lazima hayo mambo tujulishwe wananchi kinagaubaga. Je IGA na dubai nini mstakabali wake. Sio siku moja wanatokea dubai hapa wanadai tusifanye hiki na kile au tunashitakiwa kwa kuvunja makubaliano and then tunadaiwa mabilioni. Pili mkata kati ya DP na serikali kuhusu bandari ya dsm uliyoingiwa tuone uwekwe wazi. Kwa yale wananchi tuliyofanyiwa hatuna sababu kuiamini serikali. Tulifika mahali speaker kuwaita wazalendo wenye nia njema kabisa na taifa lao ni wapumbavu, kisa kuharibu picha mchezo wao mchafu. Mtu ni mwanasheria mkubwa tu anatumia hila kupitisha bungeni mkataba wenye masharti ya ovyo wa kulitia taifa kitanzini kwa urefu wa kamba yake ya malisho.
Kijana aulizwe swali hili:

Ilani inayotumiwa na chama chake ni ya 2020/2025 ya Magu, wapi chama kiliagiza Bandari ziuzwe au kukodishwa Kwa wageni?
 
Ndo nawakumbusha ndugu Watanzania,

Waachane na maigizo ya kijana wa chama chakavu,

Tuhakikishe, No Tume huru ya Uchaguzi No Uchaguzi wowote kufanyika.

Na Tume huru, iwe huru Kweli Si maigizo ya Tume.@Elli.
Mkuu tumechelewa sana mnoo leo wanamuona MMWANZA kama anaigiza wasije CHAMA MAMA wao ni watu wakutupa matukia juu ya matukia mwisho hatuna mwelekeo.

Unakumbuka MMWANZA alishawahi kusema WATZ wanapenda sana umbeya??

Wakitupa song juu ya song siye tunaruka tu hapo huyu atacheza regge huyu segere huyu rizombe mwisho awamu nyingine hii hapa.
 
Kijana aulizwe swali hili:

Ilani inayotumiwa na chama chake ni ya 2020/2025 ya Magu, wapi chama kiliagiza Bandari ziuzwe au kukodishwa Kwa wageni?
Hakuna sehemu yoyote chama kilipoagiza.

Kwa matakwa yetu tumeamua eeh unasemaje😆😆😆😆???
 
Mkuu tumechelewa sana mnoo leo wanamuona MMWANZA kama anaigiza wasije CHAMA MAMA wao ni watu wakutupa matukia juu ya matukia mwisho hatuna mwelekeo.

Unakumbuka MMWANZA alishawahi kusema WATZ wanapenda sana umbeya??

Wakitupa song juu ya song siye tunaruka tu hapo huyu atacheza regge huyu segere huyu rizombe mwisho awamu nyingine hii hapa.
Anajinasibu kuwa mzalendo wakati Mzigo wake ulidakwa na Mpango haujalipa Kodi!!

Alimpiga Mzee wetu Warioba huyu.

Bado tunakumbuka.
 
Hao viongozi wa dini biblia tu inawashinda kusoma, yaani mpaka Mkuu wa Mkoa anahangaika na madanguro, wao wanafanya kazi gani kuwahubiria habari njema? Wamejazana kwenye Siasa na hafla za ikulu kufukuzia posho
 
Salaam, Shalom!!

Kuna uteuzi ulifanyika siku ya kusaini mkataba BATILI wa kukodisha URITHI wetu, Bandari Kwa wageni.

Uteuzi huo umekuja na wimbi la Matukio ya kutengeneza wenye Nia ya kutusahaulisha wanaukoo juu ya kilichofanyika.

Jambo muhimu juu ya nini Hasa kilisainiwa kwenye mkataba Ule kimebaki kuwa Siri, Viongozi wetu wa kiimani wamejaribu mara kadhaa kuomba mikataba hiyo Ili waisome na kujiridhisha ikiwa Issues zilizokuwa zikipigiwa kelele zimefanyiwa KAZI au la!!

Hadi sasa, hatujapata majibu, media zimechukuliwa na upepo wa uteuzi na maigizo ya kijana wa chama Fulani.

Tunataka kujua yafuatayo;

1. Je IGA ilifutwa au Bado IPO?

2. HGA zilipelekwa bungeni Ili kuangaliwa UPYA ikiwa zimekidhi SHERIA zetu kama nchi juu ya ulinzi wa Raslimali zetu?

3. Kwanini mgao wa umeme unaendelea ilhali mvua zimenyesha kubwa Nchi nzima?

4. Kwanini Mawaziri walioguswa na tuhuma mbalimbali mf Nishati, ujenzi, Fedha nknk hawajaondoshwa Hadi sasa?

5. Pesa zilozoibwa sawasawa na Ripoti ya CAG katika Halmashauri mbalimbali, zimesharudishwa kiasi Gani Hadi sasa?

6. Je ni sawa Rais kuendelea kuteua wahusika wa Tume ya Uchaguzi, I wapi Tume huru ya Uchaguzi?

7. Kwanini uchaguzi wa MITAA 2024 usisogezwe mbele 2025 Ili isimamiwe na Tume huru ya Uchaguzi na kupunguza gharama ya mara mbili?

Ndugu watanzani, tusikubali kuhamishwa kujadili issues muhimu , kamwe tusikubali kutekwa na maigizo ya chama chakavu kinachowaza uchaguzi bila kusema kimewatumikia wananchi Kwa kiwango Gani!!

Ni hayo Kwa sasa.

Karibuni.
Watanzania wakishiba ugali inatosha hayo mengine tuna waachia wasomi
 
HABARI HIZI ZIMFIKIE YULE MJAMBIANI MPUMBAVU ANAYE DHANI NI AKILI KUGAWA NCHI YETU KWA YEYE KUPEWA KARATASI ZA PHD
 
Tusikubali kuhamishwa kujadili issue ya msingi.

Je IGA ilifutwa?

Professor shivji na manguli wengi wa SHERIA walisema haifai hata kidogo,
IGA haujafutwa. Ndio mkataba mama. Kilichosainiwa Dodoma ni HGA, lakini serikali hii ya ccm ikadanganua raia wake mkataba umerekebishwa. Masikini waTanzania hawa ukiwauliza IGA ni nini na HGA ni nini hawajui. Tumeliwa. Jambazi kateuliwa ili kuhamidsha mjadala kutoka kujadili rasilimali zetu zinazoporwa, tujadili jambazi.
 
Tusikubali husahaulishwa,

Mwabukusi & co tayari wamepeleka Rufaa mahakamani.

Na maandamano yataendelea.

Tuikatae wahuni.
 
Salaam, Shalom!!

Kuna uteuzi ulifanyika siku ya kusaini mkataba BATILI wa kukodisha URITHI wetu, Bandari Kwa wageni.

Uteuzi huo umekuja na wimbi la Matukio ya kutengeneza wenye Nia ya kutusahaulisha wanaukoo juu ya kilichofanyika.

Jambo muhimu juu ya nini Hasa kilisainiwa kwenye mkataba Ule kimebaki kuwa Siri, Viongozi wetu wa kiimani wamejaribu mara kadhaa kuomba mikataba hiyo Ili waisome na kujiridhisha ikiwa Issues zilizokuwa zikipigiwa kelele zimefanyiwa KAZI au la!!

Hadi sasa, hatujapata majibu, media zimechukuliwa na upepo wa uteuzi na maigizo ya kijana wa chama Fulani.

Tunataka kujua yafuatayo;

1. Je IGA ilifutwa au Bado IPO?

2. HGA zilipelekwa bungeni Ili kuangaliwa UPYA ikiwa zimekidhi SHERIA zetu kama nchi juu ya ulinzi wa Raslimali zetu?

3. Kwanini mgao wa umeme unaendelea ilhali mvua zimenyesha kubwa Nchi nzima?

4. Kwanini Mawaziri walioguswa na tuhuma mbalimbali mf Nishati, ujenzi, Fedha nknk hawajaondoshwa Hadi sasa?

5. Pesa zilozoibwa sawasawa na Ripoti ya CAG katika Halmashauri mbalimbali, zimesharudishwa kiasi Gani Hadi sasa?

6. Je ni sawa Rais kuendelea kuteua wahusika wa Tume ya Uchaguzi, I wapi Tume huru ya Uchaguzi?

7. Kwanini uchaguzi wa MITAA 2024 usisogezwe mbele 2025 Ili isimamiwe na Tume huru ya Uchaguzi na kupunguza gharama ya mara mbili?

Ndugu watanzani, tusikubali kuhamishwa kujadili issues muhimu , kamwe tusikubali kutekwa na maigizo ya chama chakavu kinachowaza uchaguzi bila kusema kimewatumikia wananchi Kwa kiwango Gani!!

Ni hayo Kwa sasa.

Karibuni.
Kwenye #3: Sio kweli kwamba mvua zimenyesha nchi nzima. Hivi nyie watu wa Dar mkoje? Mvua zikinyesha Dar mnaona imenyesha nchi nzima? Na hizo mvua zimenyesha kwa muda gani? Mabwawa yanategemea catchment areas. Catchment area ya Bwawa la Mtera bado haijapata mvua kabisa. Ni Wilaya za Mbarali, Makete, Wanging'ombe na Iringa kwa sehemu. Hizo wilaya bado hazijapata mvua kabisa. Ni kukame kabisa. Bwawa la Mtera ndilo Bwawa la HEP kubwa kuliko mengine only to be second to JNHPP Mungu akiijalia.
 
IGA haujafutwa. Ndio mkataba mama. Kilichosainiwa Dodoma ni HGA, lakini serikali hii ya ccm ikadanganua raia wake mkataba umerekebishwa. Masikini waTanzania hawa ukiwauliza IGA ni nini na HGA ni nini hawajui. Tumeliwa. Jambazi kateuliwa ili kuhamidsha mjadala kutoka kujadili rasilimali zetu zinazoporwa, tujadili jambazi.
Haihitaji Watanzania wote kujua IGA ndio irekebishwe. Kuna Makundi ya kijamii, vyama vya kitaaluma na vyama vya siasa. Vinatosha.
 
Salaam, Shalom!!

Kuna uteuzi ulifanyika siku ya kusaini mkataba BATILI wa kukodisha URITHI wetu, Bandari Kwa wageni.

Uteuzi huo umekuja na wimbi la Matukio ya kutengeneza wenye Nia ya kutusahaulisha wanaukoo juu ya kilichofanyika.

Jambo muhimu juu ya nini Hasa kilisainiwa kwenye mkataba Ule kimebaki kuwa Siri, Viongozi wetu wa kiimani wamejaribu mara kadhaa kuomba mikataba hiyo Ili waisome na kujiridhisha ikiwa Issues zilizokuwa zikipigiwa kelele zimefanyiwa KAZI au la!!

Hadi sasa, hatujapata majibu, media zimechukuliwa na upepo wa uteuzi na maigizo ya kijana wa chama Fulani.

Tunataka kujua yafuatayo;

1. Je IGA ilifutwa au Bado IPO?

2. HGA zilipelekwa bungeni Ili kuangaliwa UPYA ikiwa zimekidhi SHERIA zetu kama nchi juu ya ulinzi wa Raslimali zetu?

3. Kwanini mgao wa umeme unaendelea ilhali mvua zimenyesha kubwa Nchi nzima?

4. Kwanini Mawaziri walioguswa na tuhuma mbalimbali mf Nishati, ujenzi, Fedha nknk hawajaondoshwa Hadi sasa?

5. Pesa zilozoibwa sawasawa na Ripoti ya CAG katika Halmashauri mbalimbali, zimesharudishwa kiasi Gani Hadi sasa?

6. Je ni sawa Rais kuendelea kuteua wahusika wa Tume ya Uchaguzi, I wapi Tume huru ya Uchaguzi?

7. Kwanini uchaguzi wa MITAA 2024 usisogezwe mbele 2025 Ili isimamiwe na Tume huru ya Uchaguzi na kupunguza gharama ya mara mbili?

Ndugu watanzani, tusikubali kuhamishwa kujadili issues muhimu , kamwe tusikubali kutekwa na maigizo ya chama chakavu kinachowaza uchaguzi bila kusema kimewatumikia wananchi Kwa kiwango Gani!!

Ni hayo Kwa sasa.

Karibuni.
Tafuta video ya kusainiwa kwa mikataba ya bandarini kule ikulu Dodoma, mkurugenzi wa TPA kajibu hoja zako zote.

Kumbuka kuwa DPW wanakodisha hawajauziwa, sawa na TICTS walivyokuwa pale kwa miaka 22, sawa na Swissport walivyokaa uwanja wa ndege tangu miaka ya 1994.

IGA ilipitishwa bungeni haiwezi kufutwa.
 
Back
Top Bottom