Bandari Bagamoyo: Job Ndugai historia itakuhukumu, umeonesha unafiki mkubwa, ni heri ukae kimya

Bandari Bagamoyo: Job Ndugai historia itakuhukumu, umeonesha unafiki mkubwa, ni heri ukae kimya

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Hebu tumtazame Job hapa chini. Huyu alikuwa kiongozi wa Mhimili au vip?..Mbona amekuwa mnafiki kiasi hiki huyu mzee?

Ndugai huwa ni mnafki siku zote na viongozi wa dizaini hii huwa ni hatari kwa taifa lolote linalojitambua.
 
Back
Top Bottom