Bandari haziwezi kuendeshwa kimuungano

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Akijibu maswali ya wadau kuhusu suala la Bandari kuwa la Muungano lakini mkataba wa DPW ni wa Tanzania Bara, msemaji wa TASAC amesema suala la bandari haliwezi kuendeshwa kimuungano imeshashindikana

Akijibu swali kwenye Clubhouse amesema, suala Zanzibar haihitaji uwekezaji kwa wakati huu kwa kuwa hafanyi usambazaji kama ilivyo bara ambayo inatumia transit

Aidha amesema TPA haisimamii badari za Zanzibar kutokana na namna ambavyo Zanzibar ilivyo, kwa kuongezea amesema bandari haiuzwi bali ni kama fremu tu, inakodishwa
 
Nani huyu alio jibu suali
 
Andika moja moja, nipo hapa kukujibu.ni hoja nyepesi sana
 
Fremu?
Ya Duka?
Au?
 
Kweli Kila kilaza ataongea yake Libibi kalikoroga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…