mara ya mwisho simba kacheza lini??Tatizo ni tamaa ya hizi teams zetu. Yani wanakubali tu kushiriki mashindano hovyo hata wakichezeshwa nechi kila siku hawajali.
Juzi jumatano chiefmara ya mwisho simba kacheza lini??
Tuanzie hapo kwanza.
Kacheza, hulioni chogo hilo linavyotoka jasho?
Game ya sharks ni kesho au?All Kenyan [emoji1139] Final!!!! Bandari vs Sharks
Halafu mafala wanasema ligi yao ni bora kuliko KPL [emoji16][emoji16]Kenyan football is a cut above Tanzanian football.......simply put
Sharks have eliminated Mbao FC on post match penalties... the game was played earlier today