Mi naamini haya mashindano yana kabahati tu na timu za kenya. But kuniambis timu za kenya ni bora kuliko za tz..no way... Ukichek game aliyotolewa simba hata kwa mchezaji mmoja mmoja huwez kuwalinganisha babdari na wachezaji wa simba kivyovote! Sometimes ni bahati tu na kukamia mechi. Timu za kenya huwa zinakamia sana wakat za bongo zinacheza show game na ukichek jana most of players wa simba walikuwa wanaogopa majeruhi ili wasikose mech ya jpili na Ahl ahil ya misri. Kingine refa alikuwa upande wao sana mfano ile penalt waliopewa si sahihi. Kuna faulo nyingi sana hadi za red kadi hakutoa. Nawasifi wachezaji wa simba maana mechi ndogo kama ile haingekuwa sawa iwaweke bench kwenye league ya mabingwa waliopo sasa. Focusing ya simba zaid iko kwa waarabu wa misr sio mechi hizi za mchangani. Nimemaliza povu ruksa
Sent using
Jamii Forums mobile app