BANDARI HUMILITED SIMBA ( PAKA)

BANDARI HUMILITED SIMBA ( PAKA)

Mi naamini haya mashindano yana kabahati tu na timu za kenya. But kuniambis timu za kenya ni bora kuliko za tz..no way... Ukichek game aliyotolewa simba hata kwa mchezaji mmoja mmoja huwez kuwalinganisha babdari na wachezaji wa simba kivyovote! Sometimes ni bahati tu na kukamia mechi. Timu za kenya huwa zinakamia sana wakat za bongo zinacheza show game na ukichek jana most of players wa simba walikuwa wanaogopa majeruhi ili wasikose mech ya jpili na Ahl ahil ya misri. Kingine refa alikuwa upande wao sana mfano ile penalt waliopewa si sahihi. Kuna faulo nyingi sana hadi za red kadi hakutoa. Nawasifi wachezaji wa simba maana mechi ndogo kama ile haingekuwa sawa iwaweke bench kwenye league ya mabingwa waliopo sasa. Focusing ya simba zaid iko kwa waarabu wa misr sio mechi hizi za mchangani. Nimemaliza povu ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujua Simba bado weupe, angalia goli la pili. Beki wote wapo upande mmoja na kipa, jamaa akapiga besela wakabaki wanashangaa.
 
Team za Tz ni kama zile za China. Pesa mingi but quality zero[emoji848][emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize nchi gani inayotoa timu bora katika ukanda huu anzia kagame cup,africa champions league na confederation cup pia kwa upande wa yanga toka mwaka juzi imeyumba kiuchumi tokea raisi wao alipojiondoa kwenye timu kutokana na migogoro na serikali pia simba imejizatiti zaidi katika michuano ya mabingwa afrika kwaiyo walikuwa wanakwep majerui kwa wachezaji wake licha ile timu ya Kenya ilizidiwa sana na simba so tunawapongeza ila haimaanishi kwamba timu zenu in bora ila ni jambo la kawaida kwenye soka au mnatak kusema kwamba mbao fc ni bora kuliko gormahia kisa alimtoa kwenye michuano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira ya Tz inachezwa kwa mdomo.....ukisikia wanavyoongea utadhani basi......kumbe ni longolongo tu....
Lakini kwa ushabiki hao jamaa hua nawakubali... jamaa wakifungwa utawaona wengine wanalia kwi kwi kwi...
 
Huwa wanabubujikwa na machozi zaidi yanapowaendea mrama. Utasikia wakilia.....ni hujuuma! Hawa jamaa kuwaelewa ni kibarua kigumu.
 
Vibonde KPA.
Aston vila kumfunga man city haimaanishi Aston vila ni timu bora kuliko man city bali ni matokeo tu ya kimichezo hivyo basi wakenya punguzeni kelele kwanz timu zenu hazichezi soccer la kuvutia nafananisha matokeo haya kam ile mechi ya juventus vs man u pale man u aliposhinda ugenini kwenye uefa ni bahati tuuu na si kwamba walikuwa bora mbele ya juventus

Wewe acha kujidanganya......tungulini Tanzania ikaishinda Kenya kwa competition kama hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aston vila kumfunga man city haimaanishi Aston vila ni timu bora kuliko man city bali ni matokeo tu ya kimichezo hivyo basi wakenya punguzeni kelele kwanz timu zenu hazichezi soccer la kuvutia nafananisha matokeo haya kam ile mechi ya juventus vs man u pale man u aliposhinda ugenini kwenye uefa ni bahati tuuu na si kwamba walikuwa bora mbele ya juventus

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba hamna kitu kabisa.
 
Simba hamna kitu kabisa.
simba ingekuw mbovu isingeshiriki klabu bingwa afrika tatizo ni kipaombele cha timu ni kujizatiti kuingia robo fainali ya klabu bingwa afrika na kama simba akiingia kwenye robo fainali tanzania itaongezewa idadi ya klabu zitakazo shiriki michuano ya caf kutokana na idadi ya point pia kumbuka katika miaka mitano klabu za tanzania tofauti tofaut zimeweza kufuzu mara nne katika hatua ya robo fainali kwenye michuano ya caf asa nyinyi jifarijini na sportpesa

Kubali tu tunawapa vichapo katika michezo yote.
 
Back
Top Bottom