ULIMI MKUBWA
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 195
- 182
simba ingekuw mbovu isingeshiriki klabu bingwa afrika tatizo ni kipaombele cha timu ni kujizatiti kuingia robo fainali ya klabu bingwa afrika na kama simba akiingia kwenye robo fainali tanzania itaongezewa idadi ya klabu zitakazo shiriki michuano ya caf kutokana na idadi ya point pia kumbuka katika miaka mitano klabu za tanzania tofauti tofaut zimeweza kufuzu mara nne katika hatua ya robo fainali kwenye michuano ya caf asa nyinyi jifarijini na sportpesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha almost everything chenye wametushinda nayo ni uchawi,hawa wasee wamenitusi sana lzma wajue.ukweliKenyan football is a cut above Tanzanian football.......simply put
Haha atleast umekuwa honest,huwa amujielewi alafu muna penda sana ku hate,imagine nyi mnachuki na sisi na sisi hatujui,juu media yetu haisambazangi ujingaNimefurahi sana Wakenya kutupa somo sisi wadanganyika. Hatujielewagi.
Sent using Jamii Forums mobile app
True ,muna long way before mfike ligi ya Gor mahiaTeam za Tz ni kama zile za China. Pesa mingi but quality zero[emoji848][emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mpira pekee nime notice kila kitu mnafanya na mdomo na fitina na kuamini kila kitu chenye magufuli anawaambia kwani nyi watoto,na before i forget pia kuchukia kenya,unaeza dhani nyi hulipwa kuchukia kenyaMpira ya Tz inachezwa kwa mdomo.....ukisikia wanavyoongea utadhani basi......kumbe ni longolongo tu....
haha juu nyi hucheza mpira na mdomo pale before game ianze mnachichocha hawa wakenya nyangau watajua hawaju,but huzuri yetu hatuna pupa tunaacha kazi yetu ituongelee bali si mdomo ka wanawake
Hahaha say no more umama ndo wao,more talk less actionGood,sasa that is typically how Danganyikans talk....kwa mdomo tu nawakubali sana
I always enjoy watching people from shithole countries mocking and hating each other.Haha atleast umekuwa honest,huwa amujielewi alafu muna penda sana ku hate,imagine nyi mnachuki na sisi na sisi hatujui,juu media yetu haisambazangi ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe ndo maana utabaki kuwa mjinga,Africans were colonised for more than 150 years lakini si expect uelewe hio Tz was never 'colonised ' ndo maana bdo mko backward hamkukaliwa na ku dictatiwa in your country like what was done to us by wazungu i think only a SA or maybe a nigerian can understand this sana sana SA coz they went thru apartheid ka sisi in where mzungu was first mhindi n then kenyan black,n hata bdo sai iko ivyo buh thats a story for another day ,those countries unaongelea tukianza US wako na almost 350 after independence,African countries hata hawajafika 100 after independence na tuna grow ivi na pace ya juu,lemmy be specific Nigeria,Kenya and South africa imagine after 50yrs tutakuwa wapi those 3 countries,sasa imagine after 200yrs enyewe Tz its either nyi wajinga ama nyi hujifanya tu wajinga,Speak for youself ka Tz ni shithole kenya is notI always enjoy watching people from shithole countries mocking and hating each other.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona wamboi umeshiba sukuma wiki unadeny the true fact Kenya ain't shithole country kwa excuse ya colonization? Basi nyie ni super power wa afrika mkiwa na Nigeria, South Africa! Are you happy now?Na wewe ndo maana utabaki kuwa mjinga,Africans were colonised for more than 150 years lakini si expect uelewe hio Tz was never colonised hamkukaliwa na ku dictatiwa in your country what do do by wazungu i think only a SA or maybe a nigerian can understand this sana sana SA coz they went thru apartheid ka sisi in where mzungu was first mhindi n then kenyan black,n hata bdo sai iko ivyo buh thats a story for another day ,those countries unaongelea tukianza US wako na almost 350 after independence,African countries hata hawajafika 100 after independence na tuna grow ivi na pace ya juu,lemmy be specific Nigeria,Kenya and South africa imagine after 50yrs tutakuwa wapi those 3 countries,sasa imagine after 200yrs enyewe Tz its either nyi wajinga ama nyi hujifanya tu wajinga,Speak for youself ka Tz ni shithole kenya is not
Sent using Jamii Forums mobile app
I knew that kitambo sana Sub africa ni Nigeria kenya na SA as in we set pace then the rest follow,ww mjinga kuliko u appreciate the effort of your country unasound ka mtu hakuenda shule,mko na malls,mko na barabara nzuri n that was not there before so penda your country n appreciate kila step muna make hata kama ni ndogo bora mu progress,Nigga your an enemy of development hata hizo countriea zenye unajua they were one day ka sisi but ni hard work many years of hardwork ndo wafike hapo,wewe ukiendelea kupiga domo sisi 'shit hole countries'tuna endelea ku develope n btw sai kenya ni middle income country n am proud of that n my prayer si Kenya tupekee izidi kupaa East n central Africa but country zote zipae n then africa nzima ipae,hio ndo diffrence yangu na ww mi naona developement we endelea kupiga domo na hio shithole yako,backward mind,aki mlikosea wapi?ama tutoe hawa wazungu wako huku tuwalete huko atleast wawasaidie ku reason,coz Tanzanian mentality ni mbaya sana nyi bora mkule mko sawa,china hawakufika hapo kwa kukula na kulala ni hardwork come kenya pple dont sleep all i the name of business now thats what is called hardwork,kusema na kutendaNaona wamboi umeshiba sukuma wiki unadeny the true fact Kenya ain't shithole country kwa excuse ya colonization? Basi nyie ni super power wa afrika mkiwa na Nigeria, South Africa! Are you happy now?
Sent using Jamii Forums mobile app
Am not wambui and am a boy mi si demNaona wamboi umeshiba sukuma wiki unadeny the true fact Kenya ain't shithole country kwa excuse ya colonization? Basi nyie ni super power wa afrika mkiwa na Nigeria, South Africa! Are you happy now?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gor wana mafanikio gani ya kujivunia Africa?, Gor iliyoshindwa kutamba group stage ya CAF msimu uliopita na ikaishia kuifunga Yanga pekee ambayo kiukweli ilikua muflisi (bankrupt) yenye wachezaji wanne tu. Timu ya kupigiwa Mfano ukanda wetu ni KCCA ya Uganda pekee.