Bandari inapigwa Mnada wewe unashangilia Yanga?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.

Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
 
Watazamaji wa mjadala wanaruhusiwa kuchangia mada? Au tunaishia hukuhuku JF? Kama hawatakuwa na nafasi ya kuchangia acha wapokee Yanga watasoma yaliyojadiliwa kwenye vyombo vya habari.
 
Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Hata walifuatilia Hilo Bunge,hawana cha kubadilisha,siyo wewe Wala wao
 
Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Bandari inapigwa mnanda wewe unasikitikia Simba kufeli kwenye Kila jambo
 
Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi

Shida siyo kuangalia. Sawa wewe unatazama baada ya hapo unafanya nini?
 
Kitu kibaya ni kwamba hata ukiangalia hauna cha kuwafanya. So kuliko kujijazia presha ni bora uendelee na mambo mengine. Me nakunywa bia tu kama kuna anayeshangilia mpira ashangilie pia. Cha msingi hakikisha unajitahidi sana kizazi chako kisiwe na uraia wa Tanzania
 
Hata wakisikiliza, utapitishwa na hakuna kitu mtaifanya hii Serikali wala Bunge.
Ingekuwa kweli Wanzania wako serious, maandamano nchi nzima yangeanza baada tu ya kupitishwa.
 
Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Yaan Watanzania mnaishi kwa mihemko na mnatumika kushabikia na kupinga kila kitu .Kwa hiyo Nchi kuleta mwekezaji mpya ndio kuuzwa nchi?Je,unajua kuwa kulikuwa na mwekezaji mwingine?Je ,hauoni kuwa mwekezaji aliyekuwepo aliturudisha nyuma?Au ulikuwa na maslahi na TIXI?Hauoni tunapoteza mapato sana kuwa na TIXI?Acheni kupotosha watu.
 
Kwani hata hiyo Yanga, Simba,Adam na Ihefu zote mbona ni za Waarabu.
Vodacom na Pia Tigo mbona mmiliki ni Mwarabu
 
Somo latosha kuwa funzo, sio jambo jema kurudia makosa
Yaan Watanzania mnaishi kwa mihemko na mnatumika kushabikia na kupinga kila kitu .Kwa hiyo Nchi kuleta mwekezaji mpya ndio kuuzwa nchi?Je,unajua kuwa kulikuwa na mwekezaji mwingine?Je ,hauoni kuwa mwekezaji aliyekuwepo aliturudisha nyuma?Au ulikuwa na maslahi na TIXI?Hauoni tunapoteza mapato sana kuwa na TIXI?Acheni kupotosha watu.
 
Somo latosha kuwa funzo, sio jambo jema kurudia makosa
Wewe ni mgumu kuelewa inaelekea walimu wako walipata Sana tabu!!
Kinachozungumzwa na kulalamikiwa ni muda!? Ehhh!! Milisoma wapi jamani!? Kwani ticts ulikuwa Haina muda!?
 
Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.

Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Halafu ukishaona ndiyo ikusaidie nini?
Si bora hayo mambo ya Yanga unakua sehemu ya Washiriki na inasaidia kukupa furaha?
 
Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.

Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Wewe uliyeketi umeweza kuzuia mkataba kusainiwa ? Mbona umesainiwa na huna la kufanya Bora aliyeshangilia Yanga amepata raha kuliko wewe uliyeishia kusononeka .
 
Back
Top Bottom