The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Watazamaji wa mjadala wanaruhusiwa kuchangia mada? Au tunaishia hukuhuku JF? Kama hawatakuwa na nafasi ya kuchangia acha wapokee Yanga watasoma yaliyojadiliwa kwenye vyombo vya habari.Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Hata walifuatilia Hilo Bunge,hawana cha kubadilisha,siyo wewe Wala waoMasikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Bandari inapigwa mnanda wewe unasikitikia Simba kufeli kwenye Kila jamboMasikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Hata wakienda pale Bungeni,watanadilisha nini!?Bandari inapigwa mnanda wewe unasikitikia Simba kufeli kwenye Kila jambo
Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Yaan Watanzania mnaishi kwa mihemko na mnatumika kushabikia na kupinga kila kitu .Kwa hiyo Nchi kuleta mwekezaji mpya ndio kuuzwa nchi?Je,unajua kuwa kulikuwa na mwekezaji mwingine?Je ,hauoni kuwa mwekezaji aliyekuwepo aliturudisha nyuma?Au ulikuwa na maslahi na TIXI?Hauoni tunapoteza mapato sana kuwa na TIXI?Acheni kupotosha watu.Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Kwani hata hiyo Yanga, Simba,Adam na Ihefu zote mbona ni za Waarabu.Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Yaan Watanzania mnaishi kwa mihemko na mnatumika kushabikia na kupinga kila kitu .Kwa hiyo Nchi kuleta mwekezaji mpya ndio kuuzwa nchi?Je,unajua kuwa kulikuwa na mwekezaji mwingine?Je ,hauoni kuwa mwekezaji aliyekuwepo aliturudisha nyuma?Au ulikuwa na maslahi na TIXI?Hauoni tunapoteza mapato sana kuwa na TIXI?Acheni kupotosha watu.
Wewe ni mgumu kuelewa inaelekea walimu wako walipata Sana tabu!!Somo latosha kuwa funzo, sio jambo jema kurudia makosa
Halafu ukishaona ndiyo ikusaidie nini?Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi
Wewe uliyeketi umeweza kuzuia mkataba kusainiwa ? Mbona umesainiwa na huna la kufanya Bora aliyeshangilia Yanga amepata raha kuliko wewe uliyeishia kusononeka .Masikio yote ya watanzania yako DODODMA cha kushangaza kuna maandamono ya wanayanga kupokea timu yao, nchi inauzwa wewe unashangilia yanga seriously.
Badala ya kuketi kwenye TV uone mjadala wewe umeenda barabarani. hisia zangu zote zinaniambia huu ullikuwa ni mpango maalumu lakini pia ni kukosa kujielewa kwa watz wengi