Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kwenye group Moja hivi member mmoja amenihoji naongea sana kuhusu Bandari kwani ni yangu? Kwa kweli nimechukia sana.
Nina hasira sana naomba kushusha hasira zangu hapa.
Jamani kitu ambacho hamjui Bandari ni mali ya umma maana yake umma ni Mimi na wewe ndio umma. Kwahiyo Tukihoji Maslahi ya bandari mjue tunahoji mali zetu sisi watanzania.
Mimi nina share kwenye Bandari ya Dar es salaam. Hata Bunge walivyopitisha muswada Hawana mandate kungu Mimi nakubali labda wangepitisha referendum ma zaidi ya nusu ya watanzania wakakubali tena wanipe changu kabisa.
Mtanzania yoyote Bandari inamhusu na Mimi nikiwemo. Kutukana haisaidii yaani mtu unatumia mali yangu kwa kificho Miki nahoji ananitukana. Si Sawa kabisa.
Thamani ya bandari X 1/60M =Pesa yangu