Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
sure kabisa. walau angekuja na ulinganifu wa bandari kama mombasa na djibouti pia angesema mahitaji ya nchi zinazohudumiwa na bandari yetu. mtu umealiikwa kwenye kipindi unaenda na habari za kusikia!.Watanzania inabidi tujifunze kuwa serious.
Mbunge anasema amesikia kauli imesemwa lakini hatoi maelezo yoyote kuhusu tathmini aliyofanya kupima uhalisia wa kauli hiyo! This is a joke.