Bandari pekee inaweza kuingizia TZ trillion 10 kwa mwaka!

Bandari pekee inaweza kuingizia TZ trillion 10 kwa mwaka!

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
16,879
Reaction score
31,253
Akiongea ktk kipindi cha dakika 45 leo waziri kivuli wa uchukuzi "Moses Machali"amesema kabla hajaingia bungeni aliwahi kumsikia mbunge moja akisema bandari pekee yaweza kuingiza mapato ya Tshs 10T kwa mwaka.hiyo ikiwa miaka ya 2005-2008 machali naye ana support kauli hii .Je wana JF ni kweli Kwamba bandari ye2 inaweza kuingiza mapato hayo? Au hata zaidi Kwa mwaka?
 
Knawezekana mkuu,sema pale bandarini kuna mchezo mchafu wa kuiba pesa ya umma
 
Inawezekana ila kibongo bongo lazima watu waziibe ht 8t then 2t ndo zibaki km mapato
 
Haiwezekani kwa sasa. Kuwezekanani hadi ipigwe miundombinu ya kuwezesha hilo ambapo gharama ya miundombinu haiwezi kupungua trilioni 3
 
Watanzania inabidi tujifunze kuwa serious.

Mbunge anasema amesikia kauli imesemwa lakini hatoi maelezo yoyote kuhusu tathmini aliyofanya kupima uhalisia wa kauli hiyo! This is a joke.
 
Watanzania inabidi tujifunze kuwa serious.

Mbunge anasema amesikia kauli imesemwa lakini hatoi maelezo yoyote kuhusu tathmini aliyofanya kupima uhalisia wa kauli hiyo! This is a joke.
sure kabisa. walau angekuja na ulinganifu wa bandari kama mombasa na djibouti pia angesema mahitaji ya nchi zinazohudumiwa na bandari yetu. mtu umealiikwa kwenye kipindi unaenda na habari za kusikia!.
 
Back
Top Bottom