Bandari ya Bagamoyo ni muhimu jana, leo na kesho.

Bandari ya Bagamoyo ni muhimu jana, leo na kesho.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Tanzania imebahatika kuwa na mwambao mrefu sana wa bahari kuliko nchi nyingi barani Africa. Sisi tuna Zanzibar yote iliyozunguukwa na bahari, tuna Tanga mpaka Mtwara maji ya bahari tu.

Ikiwezekana tuwahamishie Bara baadhi ya wakazi wa Zanzibar ili kupata nafasi ya kujenga ports kubwa nyingi kule Zanzibar.

Lakini, Bandari ya DSM imebana Dana ni vema Sasa tuanze kufufua wazo la ujenzi w Bandari ya bagamoyo kwakuwa mkandarasi na mwekezaji tayari alishapatikana.

Ni aibu kuona mafuta yanayotumika Tanga, Arusha, Manyara yakishushiwa DSM badala ya Tanga na Yale yanayokwenda Mtwara, Lindi, Ruvuma, Mbeya yakishushiwa DSM pia.
 
Back
Top Bottom