Bandari ya Dar es Salaam kutumika zaidi

Bandari ya Dar es Salaam kutumika zaidi

The port of Dar es Salaam is the most expensive for importers in the region, besides being the slowest in clearing goods, a new report by the Shippers Council of Eastern Africa (SCEA) shows.

JIBU: SIO KWELI NI THE MOST EXPENSIVE NA SLOWEST Hii ripoti ya SCEA ni ya kishabiki mno na ipo
biased inalenga kuchafua bandari yetu kwa manufaa ya kikundi cha watu Fulani, kajipangeni
upya!

But transporting goods from the port of Mombasa through Kenya is more expensive than freight through Tanzania, the report finds.

JIBU: Ona mnavyojichanganya KWANI MNAZUNGUMZIA SEKTA GANI HASA HUWEZI
KUCHANGANYA MBINGU NA BAHARI NI VITU 2 TOFAUTI?

"This is a disadvantage for shippers who import through the Dar es Salaam port, as high value will attract higher port charges," said Gilbert Langat, the Kenya Shippers Council chief executive officer.

JIBU: Mbona mmeongea na upande mmoja tu wa Kenya vipi kuhusu opinion za Watanzania, mpo
biased sana na taarifa yenu hii ya kupika.

Traders in Kampala and Juba, however, find it cheaper to move goods from Mombasa through the Northern Corridor, because the distance is much shorter than through Tanzania.

JIBU: Hapa ni jambo la viwango vya kichumi hakuna jipya, ni sawa na tanzania ilivyo na fursa za
kuhudumia nchi za Zambia na DR Congo

The report shows that average cargo dwell time at the Dar es Salaam port is 10 days, compared with three days in Mombasa, down from five days last year.

JIBU: Sio kweli kwa sasa dwell time ni siku 3 ndugu zangu tokeni kwenye kupika ripoti kwa maslahi
yenu.
The international benchmark for dwell time is less than three days.

JIBU: Na hapo ndipo bandari yetu ya dar es salaam ilipo kwa sasa.

Industry players attribute the improvements at the Mombasa port to recent efforts made by Kenya, Rwanda and Uganda - the Coalition of the Willing - to remove logistical bottlenecks.

JIBU: Hili ndio mliotaka kulisema mmezunguka mbuyu sana

"We expect this to improve even more to meet the international standards," said Meshack Kipturgo, managing director of Siginon Group, a Kenyan logistics company.

JIBU: Source wenu wote ni wakenya hamkuwaona watanzania HILI LIMEFANYA TAARIFA YENU
KUWA YA UPANDE MMOJA TU? kajipangeni upya mmepika taarifa, kama hujafanya utafiti
usikurupuke

Mkuu well said brother.

Hata siku moja usiamini gazeti linalotoka kenya, kila kitu utaona "the biggest in Africa/East africa" hawana cha kusema ukweli zaid ya kujisifia

CC kadoda11
 
Last edited by a moderator:
it doesn't make sense to even think and put it in writing about logistical transportation from Juba to Dar port....unless you have no idea of Geographic location of two cities

what are you talking about. you either write your own article and publish coz i just read an article just like you. shinda ya wa ya tz ni negative criticism. the author just got his thoughts on paper, get yours on paper badala ya bla bla nyingi.............
 
what are you talking about. you either write your own article and publish coz i just read an article just like you. shinda ya wa ya tz ni negative criticism. the author just got his thoughts on paper, get yours on paper badala ya bla bla nyingi.............

you don't know the geography and shut the fu.ck up
 
mfwa maji kaanza kutapatapa,huu ni woga wa kibiashara hana data ,hajui jiografia ya nchi ,yote ni kuharibu jina na biashara ya bandari ya dar.tuongeze bidii wataishia propaganda
 
Back
Top Bottom