Bandari ya Dar es Salaam kuwa kivutio namba moja kwa wasafirishaji mizigo ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

Bandari ya Dar es Salaam kuwa kivutio namba moja kwa wasafirishaji mizigo ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wamekiri kuwa maboresho yaliyofanywa ndani ya Bandari ya Dar es Salaam na Serikali yameifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa kivutio namba moja kwa wasafirishaji mizigo ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Screenshot_20180222-114746.png
 
Back
Top Bottom