Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wamekiri kuwa maboresho yaliyofanywa ndani ya Bandari ya Dar es Salaam na Serikali yameifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa kivutio namba moja kwa wasafirishaji mizigo ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.