Bandari ya Dar es Salaam ni ya watazania sio Dar es Salaam.

Bandari ya Dar es Salaam ni ya watazania sio Dar es Salaam.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kama vifaa vilivyomo kwenye makontena ya Mh. Makonda bandarini vitagawiwa Tanzania nzima basi sina tatizo na kusamehewa kodi.
Lakini kama ni kwa Dar es Salaam tu siungi mkono kwasababu itakuwaje siku na sisi wa Mpwapwa na Kongwa tutakapoagiza vifaa kama hivyo kutoka Canada?
Tutasamehewa na sisi? au kwakuwa hatuna bandari ndiyo basi tena? Shida za walimu ziko nchi nzima sio Dar es Salaam tu jamani.
 
Back
Top Bottom