Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo ameeleza kuwa hajaona utofauti wa maisha tangu bandari ilipokodishwa na alishangazwa na kodi mpya aliyoiona wakati akiagiza gari.
"Mimi nimeagiza gari juzi mheshimiwa naibu mwenyekiti wameingiza kodi inaitwa ukarabati wa bandari.".
"Maanake hapo umemkata kodi mama yangu, bibi yangu, shemeji yangu. Hiyo gari si wanaenda kutumia wao.".
Maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ukurasa wa 10 akisisitiza kuwa maendeleo ya kweli yanapaswa kuonekana katika maisha ya mtu mmoja mmoja na si kwenye miundombinu pekee,. Alisema:
Soma Pia: Sigrada Mligo: Tusipokaa vizuri yale maandamano ya tarehe 29 mwezi wa 10 yatakuja kuwa mara 800
"Maendeleo mheshimiwa mwenyekiti hayapimwi kwa magari au sijui viite au sijui barabara. Samia amesema anataka maendeleo yapimwe pia kwa mtu mmoja mmoja.".