Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

Hujui kwamba wafanyabiashara wa Tz wanatumia bandari ya Kenya??, bongo import duties & taxes ziko juu sana.

Hayo ni mambo ya zamani sana na yamesha pitwa na wakati!

Kenya imeharibika vibaya sana kwenye kila sector, sio tena ile kenya ya kina Kibaki na Moi!
 
Ripoti nyingi za benki ya Dunia ni za uwongo, marehemu baba yangu aliahawahi kufanya uchunguzi bandarini baada ya uchunguzi wa wataalamu wa benki ya Dunia walipata vitu tofautibna wakagundua hata hao waliokuja kuchunguza hawakuwa na uw uwezo
 
My Take
Kwa nini Wafanyabiashara walipogoma walikuwa Wanasingizia Bandari wakati wanajua ni uongo?
Serikali isifumbie hujuma za Uchumi zinazofanywa na kikundi Cha watu wachache Kwa maslahi Yao binafsi..
World Bank inapima efficiency ya bandari kwa maana ya muda unaotumika kushusha na kupakia meli zinazofika hapo bandarini, yaani muda meli zinazotumia kukaa bandarini.

Wafanyabiashara wa Kariakoo wao wanalalamikia utitiri na mfumo wa kodi wanazotozwa na TRA baada ya bidhaa zao kushushwa kutoka kwenye meli pale bandarini. Hawalalamiki kwamba zinachelewa kushushwa bali wanalalamika kuwa wakishazichukua pale bandarini baada ya kuzilipia kodi stahiki, wanaandamwa na vijana wa TRA kila sehemu; madukani kwao, mabarabarani, sebuleni kwao hadi chooni kudaiwa kodi. Yaani mfumo wa kodi wa TRA eti hausomani na ule wanaolipia pale bandarini kabla ya kuchukua bidhaa zao. Sasa hili si suala la World Bank port efficiency.
 
Dar es Salaam, Djibouti, and Berbera ports have toppled Mombasa in the World Bank’s latest ranking of the most efficient ports, highlighting the competition fears that Kenya has had over Tanzania becoming a preferred route for shippers.

The third edition of the global Container Port Performance Index (CPPI) ranked the Dar es Salaam port at position 312 in 2022 out of the 348 ports worldwide that were assessed. Mombasa Port is positioned at 326.

Developed by the World Bank and S&P Global Market Intelligence, a data-based comparable index ranks global container ports according to their efficiency, measured by the elapsed time between when a ship reaches a port to its departure from the berth having completed its cargo exchange.

This comes even as Tanzania’s Port of Dar es Salaam has, in recent years, staged stiff competition, threatening to pull most of the ships plying the East African waters into their harbor.

Shippers Council of Eastern Africa (SCEA), the lobby representing importers and exporters of goods, says traders in Uganda and Rwanda have been gradually increasing volumes through Dar es Salaam.

"The share of Mombasa Port of goods to Uganda and Rwanda has already shrunk from 75 to 80% in previous years to 63% in the last quarter of 2022. That means the central corridor (Dar es Salaam) is now doing about 37% [of regional cargo volumes] from about a fifth previously."
 
Ukiona mzungu anakysifia sifis jiylize mara 6 6. Bandari ya mombasa hadi watz tunaitumia ila hakuna mkenya anatumia bandari yetu sababu ya ujingaujinga mwingi. Wazungu wakikuibia vizuri wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Hata uchumi wetu unakua kwa kasi ila tulikuwa uchumi wa kati tumeshuka uchumi wa chini ila uchumi unakua kwa kasi sana. Ni kichaa tu ndo anaweza kuelewa huu ukichaa
 
Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa katika orodha ya Benki ya Dunia kuhusu bandari zenye ufanisi zaidi ulimwenguni. Dar es Salaam imepanda hadi nafasi ya 312 mwaka 2022, ikilinganishwa na nafasi ya 361 mwaka 2021, huku Mombasa ikashuka hadi nafasi ya 326.

Kupungua kwa mizigo inayohudumiwa na Mombasa kunaweza kuwa ishara ya ushindani unaokua kutoka Dar es Salaam, ambayo inaendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha biashara katika Afrika Mashariki.

Kuongezeka kwa ufanisi katika Bandari ya Dar es salaam ni matunda ya uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali ya Rais Samia Suluhu
 
Mods Kuna Uzi wa hivi humu jukwani unganisheni
 
Hamishieni shughuli zote za bandari huko Kwala, Kibaha kwa mizigo yote ilnayoenda nchi jirani na mikoa ya pembezoni ili kuondoa msongamano usio na tija hapoo jijini Dar Es Salaam. Ofisi za TRA zijengwe hapo Kwala na Vigwaza
 
Kwa kuishinda Mombasa, ndio wafanyabiashara wabweteke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…