Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

Uwekezaji wa zaidi ya trillioni 1 uliofanywa na serikali kwenye maboresho ya bandari ya Dares salaam umezaa matunda baada ya mara ya kwanza kuipiku bandari ya Mombasa kwa idadi ya mizigo.
Kwenye utawala wa Kikwete bandari ya Dar ilikuwa duni kiasi cha kupaki meli yenye urefu wa mita 100 tu ,lakini kwenye utawala wa Hayati Magufuli ilipanuliwa na sasa ina uwezo wa kupaki meli yenye urefu wa zaidi ya mita 200 hivyo kushusha na kupakia makontena mengi zaidi.View attachment 2656803
Uwekezaji WA trillion 1 ilifanyiwa na niwe..siyo samia
 
Uwekezaji wa zaidi ya trillioni 1 uliofanywa na serikali kwenye maboresho ya bandari ya Dares salaam umezaa matunda baada ya mara ya kwanza kuipiku bandari ya Mombasa kwa idadi ya mizigo.
Kwenye utawala wa Kikwete bandari ya Dar ilikuwa duni kiasi cha kupaki meli yenye urefu wa mita 100 tu ,lakini kwenye utawala wa Hayati Magufuli ilipanuliwa na sasa ina uwezo wa kupaki meli yenye urefu wa zaidi ya mita 200 hivyo kushusha na kupakia makontena mengi zaidi.View attachment 2656803
Yaani akili za watanzania bhan.

Angalia ninyi mnafaidika kiasi gani kwa idadi ya mizigo, kumbuka mapato hayo hukusanyi wewe tena bali ni mwarabu.

Haya magazeti yanapamba tu kumpa headlines mkuu wa nchi.
 
Ungeleta idadi ya containers inao shushwa sio urefu ma meri inao paki, dar bado haijafikia mombosa mimi ni mdao wa hizo bandari zote mbili, acheni uongo wa kuona kwamva mama kuleta wawekezaji kakosoa.
Lete wewe hizo takwimu,si una sema ni mdau!?, watu mnapenda kujikweeza,wakati ni mabarakala tu wa kawaida.
 
Nilikua nadhani wanaopinga uuzwaji wa hiyo bandari yenu hawaoni mbali na kwamba wanazuia jambo la maana, lakini baada ya propaganda za huu uzi ndio nimeona hatari, kumbe mumedhamiria kumuuzia muarabu bandari kwa mbinu zote hadi kutumia uwongo wa wazi.
Bandari ya Dar bado sana kuja kuifikia ya Mombasa kwenye idadi ya mizigo.

Mtakuja kuhukumiwa sana na vizazi vya kesho, kuweni wa kweli, zingatieni kila kitu kwa weledi kabla kuuza bandari, acheni hizi mbinu za propaganda na uwongo.
 
Tupambane kivyetu na kupata maendeleo wenyewe
Kizuri chajiuza
Naona tujitahidi wenyewe sio kwa kujionyesha
 
Back
Top Bottom