BANDARI YA DAR ES SALAAM YAPANDA KIMATAIFA, YAIACHA MOMBASA NA DURBAN

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Bandari ya Dar es Salaam imeorodheshwa nafasi ya 255 duniani katika Container Port Performance Index (CPPI) 2025, ikiwa mbele ya Mombasa (396), Durban (398) na Cape Town (400). Tathmini ya Benki ya Dunia na S&P Global hupima ufanisi wa bandari kwa kuangalia muda ambao meli hutumia bandarini, ikiwemo kusubiri na kuhudumiwa. Dar es Salaam pia imepunguza muda wa meli za makontena kukaa bandarini kutoka takribani siku 10–30 hadi siku 3–6, ikionesha maboresho katika ufanisi wa huduma na uendeshaji wa bandari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…