tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,491
Kwa mara nyingine tena meli kubwa ya Kontena ijulikanayo kama RHL CALLIDITAS yenye urefu wa mita 260 imeingia katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni mfululizo wa Bandari hiyo kuingiza meli kubwa na ndefu. Meli hiyo ina uwezo wa kubeba Kontena 4,800.