Bandari ya Dar es salaam yazidi kupokea meli kubwa duniani

Bandari ya Dar es salaam yazidi kupokea meli kubwa duniani

Bandari haitoshi mchakato wa kujenga au kupanua Bandari ili ihudumie meli nyingi kwa wakati mmoja ungefanya ikiwemo hata kuhamisha Chuo cha mwalimu Nyerere na Kambi ya jeshi kigambani kwa ajili ya upanuzi wa bandari.
Hii ya meli kukaa pwani zaidi ya wiki kung'ojea nafasi ya kupaki bandarini sio sawa kwa ustawi wa uchumi tunapoteza mda.
 
Back
Top Bottom