Meli kama hiyo haikuwa kutia nanga huko awamu za nyumaTatizo hivi vitu vimekua hadimu awamu hii. Ngoja tujipongeze kwa hili.
NI kweli...yani ndege ilikosea kutua ikawa breaking news za kujipongeza...hatujazoea hivi vituTatizo hivi vitu vimekua hadimu awamu hii. Ngoja tujipongeze kwa hili.
Heeee!!hii nayo ni habari jamani?!!malaView attachment 911205
Kwa mara nyingine tena meli kubwa ya Kontena ijulikanayo kama RHL CALLIDITAS yenye urefu wa mita 260 imeingia katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni mfululizo wa Bandari hiyo kuingiza meli kubwa na ndefu. Meli hiyo ina uwezo a kubeba Kontena 4,800.
kuna wengi hawapendi hizi taarifa.Kuna dhana hutumika katika masuala ya fedha. Dhana hiyo hufahamika kama "Input output ratio".
Swali la kujiuliza je, nini manufaa ya kuja kwa meli hii kaw uchumi wetu na katika mnyororo wa thamani? Au ni mwendo wa vigeregere mithili ya juha kwa kila jambo linalofanyika katika awamu hii ya mtukufu mwenye kutukuka katika milki yake yenye mazuzu.
Wafanyakazi bandarini "skilled labour" bado ni changamoto.Vipi issue ya uhaba wa wafanya kazi ilisha isha au bado
mbona ina zaidi ya 2 weks imetua hapo ndo umejua Leo auView attachment 911205
Kwa mara nyingine tena meli kubwa ya Kontena ijulikanayo kama RHL CALLIDITAS yenye urefu wa mita 260 imeingia katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni mfululizo wa Bandari hiyo kuingiza meli kubwa na ndefu. Meli hiyo ina uwezo wa kubeba Kontena 4,800.
jiulize na wewe kwanini hufanyi exporting?Hapo imekuja na kontena karibia 4,800,lakini utakuta kontena chache sana walau elfu moja(1000) tu ndo zinarudi na mizigo karibia kontena elfu tatu(3000) zinarudi tupu.Our exporting ability is almost negligible. Where are our exporters?
Hpa ndipo niliposhangaa 260 mtrs.Mita 260 urefu wake ni sawa na viwanja viwili na nusu vya mpira,mh!