DOKEZO Bandari ya Dar kuna Urasimu, mizigo inatoka taratibu sana. Serikali, nini kinaendelea?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Acha mambo ya "NADHANI", "KAMA"..... Mimi pia nina mizigo imefika tangu tarehe 16/12/2023 hadi leo sijapata. Silent Ocean wanasema kinachoendelea ni inspection. Jiulize kama Silent Ocean na ubabe wao wote kontena zinakaa zaidi ya mwezi vipi wengine? Kinachoendelea bandarini ni HUJUMA kwa Mama Samia. Wananchi wataichukia serikali kwa sababu ya ujinga wa watu wachache.
 
Dp world hauhusiki maana kufungua container moja baada ya moja ndio foleni zile cranes zinasumbua hata wafanye akzi masaa 24...Kufanikiwa kwa Dp world ni kuleta miundombinu mipya..

Je pale bandari umeona miundombinu mipya?
DP world hajaanza kazi
 
Ni urasimu lakini pia Watanzania wengi ni watu slow sana
 
Inspection wanaofanya Hizo Taasisi zinajulikana. TPA kwenye Inspection yeye anakuwa mtazamaji tu, Taasisi zinazofanya Inspection ndio zina wakwamisha mzigo usitoke kwa wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…