Bandari ya Dar tuachane na Dubai tuwape Wachina

Bandari ya Dar tuachane na Dubai tuwape Wachina

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,620
Reaction score
1,407
Ukitazama kitu ambacho Dubai wanafanya ni mtego ambao umbumbu wa waafrika tunashindwa kukiona.
Hoja siyo kuleta mwekezaji bali umlete nani na kwa maslahi gani yanayotoka wai.

Dubai wamekamata bandari zote kwenye ukanda wa mashariki mwa Afrika, kuanzia embe ya Afrika huko Djibout maka kusini urban.

Technically kila mmoja amedanganywa kuwa ataongeza ufanisi na kucheusha mizigo inayoita kwa majirani lakini hilo haliwezekani.

Jibout kaandiwa kucheusha ya Kenya

Kenya kaahidiwa kucheusha ya Jibout na Tanzania

Tanzania kaahidiwa kukamata mizigo ya Kongo, Rwanda na Uganga inayoita Kenya, kaahidiwa kuteka mizigo ya kongo na Zambia inayoitia Mozambique. Mozambie bila shaka kaahidiwa kuchukua mizigo ya Zambia na Kongo inayoitia Tanzania

Afrika kusini kaahidiwa hivyo hivyo.

Technically and commercialy hii mango haiwezi kufanikiwa ikiwa nchi hizi zote zinaendeshwa na mtu mmoja.

Atakachokifanya yeye ni kuua baadhi za bandari, kwamba anaweza kuwa na bandari moja au mbili na hizo ndizo zinaokea meli kubwa tu kutoka mbali na hizi ndogo anacheusha mizigo. hakuna wa kumnyanganya mizigo mwenzake.

Ongezeko la maato litakuweo ale tu afrika wakiongeza exort au imort.

Sasa Tanzania tungefanya ujanja tukama mchina bandari yetu.

Kwa nini mchina

Nadhani asilimia kubwa ya mizigo kutoka na kuingia mashariki mwa afrika inatoka china. ukima mchina unaleta ushindani wa kunyanganyana mizigo.

Hao ukizungumzia tanzania kuwanyanganya kenya na mozambique inakuwa na uwezekano na kama china ana bandari yake haa, mizigo yote itokayo na kuingia china tungekuwa tushaiweka kibindoni.

Nimemsikia mama akionyesha wasiwasi kwa kenya kuingia dubai, waache waende ila sisi tusiingie kwenye hii ool haina tija.

Hutaweza kumnyanganya mkenya mizigo kama na bandari za kenya anayeendesha ni dubai au kumnyanganya mauto mizigo ikiwa oerator ni yuleyule.

Changamoto ni ale bandari ya dar ikiwa inaokea mizigo kutoka mombasa au jibout tu kitu ambacho naona kinaenda kutokea kwa bandari za ukanda wa mashariki kushikwa na mtu mmoja
 
Back
Top Bottom