Usiipe umuhimu mkubwa hivyo wakati HainaBandari muhuni kwa maslahi mapana ya biashara na Malawi na Maumbile. Atafutwe mwekezaji toka Arabuni awekezwe miundombinu ya kisasa
Simenti ya Dangote inaweza kusafirishwa kwenda Malawi na Msumbiji kupitia Mbamba bay port.Usiipe umuhimu mkubwa hivyo wakati Haina
Hata Sasa saruji inaenda Mozambique maana Kuna daraja .Simenti ya Dangote inaweza kusafirisha kwenda Malawi na Msumbiji kupitia Mbamba bay port.
Hata Sasa saruji inaenda Mozambique maana Kuna daraja .
Mwisho cement tuu ndio atafutwe Mwekezaji? ππ
Hivi ulishasoma Mkataba wa DP?? Omba kupata Nakala kwanza ndipo useme hayo unayopendekeza. Usitafute ugomvi nao bila sababu.Bandari muhimu kwa maslahi mapana ya biashara na Malawi na Msumbiji. Atafutwe mwekezaji toka Arabuni awekeze miundombinu ya kisasa