Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
POINTBANDARI ZETU NAZO ZIWE CHINI YA OFISI YA RAIS KWA USALAMA WATAIFA!
... ili kupunguza safari za kushtukiza ambazo, naanza kuona, hazileti tija yeyote katika kudhibiti upigaji na kuongeza ufanisi naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives! ... picha za video za kila kinachoendelea sehemu zote nyeti ziwe streamed muda wote zikiambatana na DATA za mapato na ufanisi wa ku'clear' mizigo ya wadau mbalimbali!
Hebu tazameni hii ziara ya kushtukiza ya waziri mkuu na usome body language ya wahusika wakuu wanaohojiwa hapo ... hivi PM hadanganywi kweli hapo?
BANDARI ZETU NI MUHIMU MNO KWA UCHUMI NA USALAMA WA TAIFA LETU!
Wazo lako zuri pia, lakini rais pia akiwajibika directly inakuwa kurushiana mpira kidogo kunapungua!Utopolo mtupu. Badala utake uwajibikaji wa imara wa bunge kusimamia nchi na serikali unataka mambo yachimbiwe mafichoni kwenye dola.
Wazo lako zuri pia, lakini rais pia akiwajibika directly inakuwa kurushiana mpira kidogo kunapungua!
Aliyekwambia Usalama wa Taifa hawapo bandarini nani?Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za kushtukiza ambazo, naanza kuona, hazileti tija yeyote katika kudhibiti upigaji na kuongeza ufanisi!
Picha za video za kila kinachoendelea sehemu zote nyeti ziwe streamed muda wote zikiambatana na DATA za mapato na ufanisi wa ku'clear' mizigo ya wadau mbalimbali!
Hebu tazameni hii ziara ya kushtukiza ya waziri mkuu na usome body language ya wahusika wakuu wanaohojiwa hapo. Hivi PM hadanganywi kweli hapo?
Huna unalofahamu wewe, halafu mbona umekuwa na tabia za kimama mama mtu akikukosoa kidogo tu unampa tofali.Aliyekwambia Usalama wa Taifa hawapo bandarini nani?
Kukuelimisha kidogo: Kuna sehemu muhimu kwa taifa zinaitwa "Vituo muhimu" kwa kimombo "Vital installations." Bandari, viwanja vya ndege, BOT, Tazara, nk zote zina maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa, wa wazi kwa maana ya waliopo kwenye ofisi zilizopo kwenye taasisi hizo, na maafisa vipenyo (penetrated officers).
Aliyekuwa hadanganyiki ni Magu tu sababu aliweza kuwapenyeza ma informants kila sehemu.Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za kushtukiza ambazo, naanza kuona, hazileti tija yeyote katika kudhibiti upigaji na kuongeza ufanisi!
Picha za video za kila kinachoendelea sehemu zote nyeti ziwe streamed muda wote zikiambatana na DATA za mapato na ufanisi wa ku'clear' mizigo ya wadau mbalimbali!
Hebu tazameni hii ziara ya kushtukiza ya waziri mkuu na usome body language ya wahusika wakuu wanaohojiwa hapo. Hivi PM hadanganywi kweli hapo?
Wenye kiu ya uelewa wameelewa. Hayo ya umama na kupigwa tofali ni yako binafsi.Huna unalofahamu wewe, halafu mbona umekuwa na tabia za kimama mama mtu akikukosoa kidogo tu unampa tofali.
Sifa moja wapo ya Usalama ni kushinda mihemko ila kwako ni tofouti kidogo, bila shaka ulikuwa assistant officer hukuwa ofisa kamili 😄
Hii point kabisa na vijana wengi wanaweza hii kazi, mama pamoja na waziri mkuu angalieni huu mchongo. Marehemu Ruge aliwahi kusema technology aidanganyi kabisa na sio uchawi.Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za kushtukiza ambazo, naanza kuona, hazileti tija yeyote katika kudhibiti upigaji na kuongeza ufanisi!
Picha za video za kila kinachoendelea sehemu zote nyeti ziwe streamed muda wote zikiambatana na DATA za mapato na ufanisi wa ku'clear' mizigo ya wadau mbalimbali!
Hebu tazameni hii ziara ya kushtukiza ya waziri mkuu na usome body language ya wahusika wakuu wanaohojiwa hapo. Hivi PM hadanganywi kweli hapo?
Until when the committed, responsive and accountable head of state is availed by the citizens and crowned to safeguard the nation's interests without being coerced by the activists to push their polarized agenda.Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za kushtukiza ambazo, naanza kuona, hazileti tija yeyote katika kudhibiti upigaji na kuongeza ufanisi!
Picha za video za kila kinachoendelea sehemu zote nyeti ziwe streamed muda wote zikiambatana na DATA za mapato na ufanisi wa ku'clear' mizigo ya wadau mbalimbali!
Hebu tazameni hii ziara ya kushtukiza ya waziri mkuu na usome body language ya wahusika wakuu wanaohojiwa hapo. Hivi PM hadanganywi kweli hapo?
... naona wote hamjanielewa, mimi napendekeza bandari ziwe monitored, remotely, by TISS operatives wakiwa ikulu ambapo wataona kila kitu na kusikia kila kitu na kusoma documents na takwimu zote kwa kutumia videos na data zitakazokuwa streamed kutoka maeneo/na ofisi zote nyeti ya bandari zetu kupitia mtandao wa computa zote nyeti za bandari ambazo zinaweza kabisa kuwa 'integrated'na zile za ikulu!Umemaliza Mkuu
Anachotaka kuona yeye ni maofisa wanaozunguka na bunduki bandarini😀
... acha nijaribu kuwa 'clear' zaidi, ... ni hivi: mimi napendekeza bandari ziwe monitored, remotely, by TISS operatives wakiwa ikulu ambapo wataona kila kitu na kusikia kila kitu na kusoma documents na takwimu zote kwa kutumia videos na data zitakazokuwa streamed kutoka maeneo/na ofisi zote nyeti ya bandari zetu kupitia mtandao wa computa zote nyeti za bandari ambazo zinaweza kabisa kuwa 'integrated'na zile za ikulu!Aliyekwambia Usalama wa Taifa hawapo bandarini nani?
Kukuelimisha kidogo: Kuna sehemu muhimu kwa taifa zinaitwa "Vituo muhimu" kwa kimombo "Vital installations." Bandari, viwanja vya ndege, BOT, Tazara, nk zote zina maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa, wa wazi kwa maana ya waliopo kwenye ofisi zilizopo kwenye taasisi hizo, na maafisa vipenyo (penetrated officers).
Ninakubaliana na wewe; na hata Rais mwenyewe anaweza akawa ni tatizo, huwezi juwa!Kuna haja gani ya kuwa na Waziri mkuu, Waziri wa uchukuzi, Katibu mkuu, TPA na Mkuu wa mkoa kama mnataka Rais pia akafanye kazi bandarini??
... a safe treasure chest is the one which has a lock that requires the biometrics of more than one bosses to get opened, ... and the ultimate boss, if involved, makes the treasure even safer!Kuna haja gani ya kuwa na Waziri mkuu, Waziri wa uchukuzi, Katibu mkuu, TPA na Mkuu wa mkoa kama mnataka Rais pia akafanye kazi bandarini??