Ndugu na jamaa nadhani hapa JF hamna kinachoshindikana na nadhani tatizo langu watu wengi wanajua na wameshafanya sana..Sasa nilikuwa naomba kufahamu zaidi je kama nikiagiza gari kutoka Japan kuja bongo nadhani itafika vizuri bila matatizo yoyote sasa nilikuwa nataka kujua je pale bandarini kuitoa inakuwaje au process zake zinakuwa vipi??Na pia ni kiasi gani huwa wanacharge kutoa gari pale bandarini labda tutoe mfano gari aina ya toyota mark II labda inaweza kufikia kiasi gani kutolewa bandarini pamoja na kusajiliwa kwa ujumla??na kuiandikisha inaweza kuwaje??
Inategemea gari hilo umenunua bei gani ( CIF) Cost, Insurance and Freight.
Inategemea gari hilo ni la mwaka gani
Inategemea gari hilo lina cc ngapi
Hapa unaweza kufanya hesabu zako kwa kutumia formula hizi:
Kodi za kulipa: Import Duty 25% of CIF, Excise Duty 10% of CIF ( From cc 2000), VAT Kama ni la below 1999 utalipa 20% of CIF ya uchakavu,
20% of Total (CIF + import+excise+Uchakavu) .
Hizo ni Kodi, Ukija bandari kuna Warfage, Storage charges if excceed 7days before clearing, Port charges na upuuzi kibao wa kukimbiza file!!! , Then bado hujamlipa clearing and forwarding agent ambayo ipo kati ya 300,000/- hadi 500,000/= depending na utapeli wao.
Registration ni kama 250,000/= hivi kwa sasa. Insurance kama unataka compressive ni 5% of declared value. Third part ni 70,000/=
Sasa weka kwenye excel and do your calculation you will know how much a minimum you need.
Bora upitishe bandari ya mombasa huko itakuwa faster. Kama unataka bongo andaa rushwa kabisa. Maana pale napo kuna mafisadi wa kidazaini.
Bongo bado kabisaaa! mie mwaka jana nilituma gari kutoka Dubai lilikaa miezi 3 pale bandari ya dar, hapo pesa kibao zilinitoka kutoa hilo gari. Mara watake hichi mara kile, ilimradi uwape kidogo dogo.
Nina shost wangu katuma this year kutoka japan hadi mombasa week moja tu alifanikiwa kupata gari yake kutoka bandari ya mombasa. Akaisafirisha hadi bongo, na alitumia gharama kidogo tu.
Bongo bado kabisaaa! mie mwaka jana nilituma gari kutoka Dubai lilikaa miezi 3 pale bandari ya dar, hapo pesa kibao zilinitoka kutoa hilo gari. Mara watake hichi mara kile, ilimradi uwape kidogo dogo.
Nina shost wangu katuma this year kutoka japan hadi mombasa week moja tu alifanikiwa kupata gari yake kutoka bandari ya mombasa. Akaisafirisha hadi bongo, na alitumia gharama kidogo tu.
Inategemea gari hilo umenunua bei gani ( CIF) Cost, Insurance and Freight.
Inategemea gari hilo ni la mwaka gani
Inategemea gari hilo lina cc ngapi
Hapa unaweza kufanya hesabu zako kwa kutumia formula hizi:
Kodi za kulipa: Import Duty 25% of CIF, Excise Duty 10% of CIF ( From cc 2000), VAT Kama ni la below 1999 utalipa 20% of CIF ya uchakavu,
20% of Total (CIF + import+excise+Uchakavu) .
Hizo ni Kodi, Ukija bandari kuna Warfage, Storage charges if excceed 7days before clearing, Port charges na upuuzi kibao wa kukimbiza file!!! , Then bado hujamlipa clearing and forwarding agent ambayo ipo kati ya 300,000/- hadi 500,000/= depending na utapeli wao.
Registration ni kama 250,000/= hivi kwa sasa. Insurance kama unataka compressive ni 5% of declared value. Third part ni 70,000/=
Sasa weka kwenye excel and do your calculation you will know how much a minimum you need.
Angalia msidanganyike kirahisi hivyo, bandari ya Dar kwa upande wa magari kwa kweli kwa sasa wamejitahidi sana, wameboresha huduma, hata ule wizi siku hizi hakuna tena. Hiyo ya Mombasa ni njia ilikuwa inatumiwa wakati ule TRA wanafanya uzembe kule mipakani ambapo watu walitumia ujanja kuingiza magari bila kulipia zile tax muhimu zote. Lakini kwa sasa ukitumia Mombasa nakuhakikishia it will cost you more than if you use Dar port. Ninafanya sana hizo biashara najua what is happening this time. Last week kuna gari ya mdogo wangu mmoja mbishi sana naye tumemshauri atumie dar port amebisha. Kilichomtokea anajuta hadi leo. Amelipa 2times more than mwenzake aliyepitisha dar port.
Kuhusu gari kuchukua muda mrefu pale dar port sometimes tunawalaumu TRA kumbe uzembe ni wetu, watu wana forge documents ili CIF ionekane ndogo walipe kidogo. Sasa zile documents zikishakuwa proccessed ziko kwenye final kuna CIA wa TRA ambao wanapitia at last!! wakishagudnua hilo wanazirudisha inabidi uanze upya zoezi zima na utalipa Uplifted CIF.
Mkuu nakushauri tumia document zako kama zilivyo bila forgery yeyote utapata gari lako within two weeks.
Umesahahu kumwambia kuwa TRA wana bei zao....hiyo CIF yako toka Japan weka pembeni.....hayo mahesabu yaliyotolewa hapo juu yatakusaidia kukupa picha itakavyokuwa.......lakini jiandae na bei watakayoweka TRA ndiyo itakayopigiwa hesabu hizo hapo juu
kama Toyota Mark II yako umenunua kwa CIF DSM $ 4000 (most likely)....utaona gharama niliyokuambia kuwa uandae TShs 4m inatimia.........tena pengine itazidi.....
Sasa kuingiza ndege huwa inakuwaje?..teh teh teh..
...kama nikiagiza gari kutoka Japan kuja bongo
Bora upitishe bandari ya mombasa...
...Bongo bado kabisaaa! mie mwaka jana nilituma gari kutoka Dubai lilikaa miezi 3 pale bandari ya dar, hapo pesa kibao zilinitoka kutoa hilo gari. Mara watake hichi mara kile, ilimradi uwape kidogo dogo. Nina shost wangu katuma...