Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
Ndugu na jamaa nadhani hapa JF hamna kinachoshindikana na nadhani tatizo langu watu wengi wanajua na wameshafanya sana..Sasa nilikuwa naomba kufahamu zaidi je kama nikiagiza gari kutoka Japan kuja bongo nadhani itafika vizuri bila matatizo yoyote sasa nilikuwa nataka kujua je pale bandarini kuitoa inakuwaje au process zake zinakuwa vipi??Na pia ni kiasi gani huwa wanacharge kutoa gari pale bandarini labda tutoe mfano gari aina ya toyota mark II labda inaweza kufikia kiasi gani kutolewa bandarini pamoja na kusajiliwa kwa ujumla??na kuiandikisha inaweza kuwaje??