Wakati watu wakijadili habari za nyongeza za mishahara bando limepanda bila kutangazwa. 20'000 ilikuwa unapata gb 30, mama alipoingia 20'000 unapata gb19 kuanzia juzi 20'000 unapata gb17. Tigo hao, provider wengine sijawajaribu. Mama anaupiga mwingi kwelikweli.