Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 1,056
- 2,118
Chukua 10, 000/- tafuta line yenye promo nunua la mwezi.Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ππΎ adi kero
Inazingua natumia ya tigo yote inaisha shwaa tena ya mwezi nimeeka naambiwa matumizi Yako
Nunua huduma ya unlimited unakuta kw mwezi unalipia 55k-70k na mnatumia nyumba nzima tu bila kujipimia unatiririka.Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh ππΎ adi kero
Zinakwaza izo imebuma yangu ya airtelmmh mbona router skuiz ni cheap kwa 70k unakula unlimited
Acha kuangalia mambo yaliyokatazwa...Inazingua natumia ya tigo yote inaisha shwaa tena ya mwezi nimeeka naambiwa matumizi Yako
KumbeChukua 10, 000/- tafuta line yenye promo nunua la mwezi.
Mbadala WASILIANA NA TTCL wakufungie nyumbani kwako/ofisini. 55, 000/- kwa mwezi
Ngoja nijaribu hiiChukua 10, 000/- tafuta line yenye promo nunua la mwezi.
Mbadala WASILIANA NA TTCL wakufungie nyumbani kwako/ofisini. 55, 000/- kwa mwezi
Duh ππΎNunua huduma ya unlimited unakuta kw mwezi unalipia 55k-70k na mnatumia nyumba nzima tu bila kujipimia unatiririka.
We nae unawaza uzinzi tu!Acha kuangalia mambo yaliyokatazwa...
OwkyPunguza matumizi yasiyo ya msingi, hakikisha unapofungua app fulani unaifunga kwa wakati kabla haujafungua app nyingine.
Weka video na picha kwa faida ya members...We nae unawaza uzinzi tu!
πΉπΉπΉπΉWeka video na picha kwa faida ya members...
Uko kizamani Sana tumia VPN (virtual private network) unlimited ni wewe uwezo wako wa kutumia simu unaweza kukesha.Wadau mnatumia nn Kwa matumizi ya bando maana bando lote baada ya masaa shwaa eh [emoji1487] adi kero