Bandugu hebu tuelimishane kuhusu umuhimu wa ku-update software kwenye simu za samsung

Sam
Samahani chief, Nina simu ya oppo a57 haikubali ku-update Yani nikibonyeza kwenye system update haifunguki, shida itakua nini apo?
 
Sam

Samahani chief, Nina simu ya oppo a57 haikubali ku-update Yani nikibonyeza kwenye system update haifunguki, shida itakua nini apo?
Pengine ni simu ya mtandao fulani huko ughaibuni, hizi hazipokei updates direct toka Kampuni husika bali hupokea toka mtandao husika.
 
Pengine ni simu ya mtandao fulani huko ughaibuni, hizi hazipokei updates direct toka Kampuni husika bali hupokea toka mtandao husika.
Kwahiyo nifanyaje kupata update maana simu yangu haina security yoyote kwasasa
 
Kwahiyo nifanyaje kupata update maana simu yangu haina security yoyote kwasasa
Angalia kwanza online version ya mwisho ya simu yako na sasa hivi, kama version ni tofauti hapo ni hadi manual u flash hilo file,
 
Mkuu Kwa bajeti ya 400k napata simu Gani nzuri mpya
 
Samahan kwabajeti ya laki3 napata simu Gani nzuri?
Mpya Samsung A15 4G yenye Helio G99.

Mtumba angalia na deals unazipata simu za around 2020 flagship ama midrange za 2021 hivi unapata kwa hio bei. Kwa Samsung Angalia S20FE ama A52s, kama unajua kucheki Aliexpress pia angalia simu kama snapdragon 778G unapata hii budget siku hizi.
 
Zote hizo za kubet mkuu, haijalishi inapotoka
mkuu samahan nje ya mada kidogo, nimeona kuna jamaa anauza iphone 15 ila anaziita copy i think ni kwasababu zina android na sio ios, vp kuhusu hizi simu mkuu?
 
mkuu samahan nje ya mada kidogo, nimeona kuna jamaa anauza iphone 15 ila anaziita copy i think ni kwasababu zina android na sio ios, vp kuhusu hizi simu mkuu?
Hazina issue, itakua na muonekano wa iphone ila hardware haitakua nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…