Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nyani, angalia nimekutumia PM
nasubiri simu yako:caked:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyani, angalia nimekutumia PM
Editorial endorsement is quite proper katika nchi zilizoendelea kidemokrasia lakini hapa kwetu ni vigumu kulichanganua kwa sababu uwanja wake hauko sawa sawa bila ya upendeleo......................
hakuna tatizo kwa Bang kuipendekeza ccm kwenye gazeti lake. Nafikiri ingekuwa wenye media wote wanafanya kama hivyo ingekuwa kheri sana, ingeondoa ule unafikiki unaofanywa na wengi.
Blog Kulikoni Ughaibiuni ilifanya kumuunga mkono wazi Slaa na wengi walipongeza, nashangaa kwa nini kwa Bang kufanya hivyo imekuwa ni 'jambo lisilo faa'
Sidahni kama bloggs,twitters and the like vinatambuliwa kwa sheria zetu...gazeti sharti lisajiliwe kisheria...kwa hiyo usilinganishe blogg na gazeti
kuna sheria inayokataza vyombo vya habari vilivyosajiliwa kumpendekeza mgombea wamtakae?
(nijuavyo nje ya tanzania, sheria zinaruhusu kwa chombo kuwa wazi)
Si kosa kumpitisha au kumpendekeza mgombea ni uhuru wa kutoa maoni wa kila mtu na gazeti.Pole ndugu nimepitia maoni ya wenzetu, hawajajibu swali. Na mie nilitamani kujua inaruhusiwa au la? Anayejua tusaidie jamani
Naomba muulize Tido wa TBC kwa nini aliondoa tangazo la policy forum.....na kwa nini DAILY NEWS came under fire for saying SLAA will never be the 5th President of old dear URT
Sasa naona unataka kulinganisha vyombo vya umma na vile vya binafsi.
kwa vyombo vya umma it goes without saying kuwa haviruhusiwi kisheria kupendelea upande mmoja.
isitoshe, kusema 'Slaa hatashinda' si sawa na kum endorse 'kikwete' (au mgombea mwengine)