Bangi Dawa na mirungi iruhusiwe kama chanzo cha Mapato

Bangi Dawa na mirungi iruhusiwe kama chanzo cha Mapato

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Kutokana na Ugumu wa Maisha ni muda sasa serikali iangalie namna mbadala ya kuwasaidia wananchi wake kujikwamu kimaisha!
Soko la bangi dawa lonakadiriwa kufikia USD Billion 344 kwa mwaka ( Zaidi ya Mara Tano ya uchumi mzima wa Tanzania )


Kilimo hichi kinastawi sana hapa Tanzia bila ya kutumia nguvu na gharama kubwa na kwakua bado kinapingwa kwa sasa sioni tatizo kutolewa special licence kwa Makampuni ambayo yatakua monitored na serikali kuhakikisha zinakuwa exported kwenda kwenye nchi ambazo zimeruhusiwa.

Hivyo hivyo kwa Miraa, miraa ilimwe kwaajili ya export kwenda nchi kama Kenya na Somalia.

Tunakwama wapi ?

download.jpeg.jpg


download-1.png
 
Jana nilikua nimekaa na mh flani tunalipuliza....
Dahhh bange ni bangue..🌿
 
Back
Top Bottom