Bangi haina madhara...

Bangi haina madhara...

Tayari ushalipuka, upo juu ya tv unaangalia makochi alafu unacheka cheka tu
 
Kwa vile ndugu zako hawajaathirika na uvutaji wa bangi

mwanza kwetu
 
Kumbe BANGi haina madhara yeyote
sa hizi nimetoka kuvuta pafu moja
niko fresh tu, nimekaa juu ya TV naangalia MAKOCHI.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejikuta nacheka pekee yangu aisee JF Ni zaidi vunja mbavu ! Mkuu umekaa juu ya tv unacheki makochi mkuu tayari Dish limeyumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji445][emoji445][emoji445]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom