Bangi kutoka Tanzania yatiwa kiberiti Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hivi majirani lini mtakuja kwenye nchi hii na kufanya uwekezaji wa kueleweka, mara bangi mara omba omba, hivi haya mambo mbona hamyafanyi kwa majirani zenu wengine kama vile Malawi, Zambia, Uganda na kwengineko.
----------------------



Bhang worth a street value of Ksh.15.2 million was on Monday destroyed by Migori County security officers under the watch of court officials.

The 1,524 kilograms of bhang, which had been presented before court several years ago as exhibit, were burnt down at Lichota grounds in Suna West Sub-county.

Migori County Police Commander said the marijuana was presented before court as exhibit three years ago.

The police boss noted that much of the bhang nabbed in Migori is mostly on transit from Tanzania to other parts of the country.

He however reiterated commitment to fight bhang trafficking in the area, appealing on the locals to support the efforts by giving intelligence to security officers.


 
Waliwao.
 
Wakenya wanapenda sana bangi, hapo wameona wachome kinafiki lakini wananchi wao wengi walikua maeneo ya jirani ili moshi uwafikiee
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa ndio utaelewa kuwa Kenya rushwa zimetamalaki.
Naanza kuamini ht yule mkenya aloongea ktk tukio la westgate mall KDF kuiba mikate alisema kweli kuwa hadi silaha wanauziana na alshabab hawa KDF.

Nachomaanisha ni kwamba hiyo banghi isingepenya mipakani mwa kenya toka Tanzania Km boarder cops hawajala rushwa.
Inawezekana maaskari wa mpakani mwa kenya eidha wamekula rushwa ili mzigo upite ama wana connections katika hiyo biashara chafu kiasi cha kufanikisha upite huo mzigo.
Kweli kikulacho kinguoni mwako.
Na zimwi ulijualo halikuli likakwisha.
 
Waafrika bado hawajajua umuhimu wa cannabis ktk afya ya mwili na kiroho sio ile kama takataka wanayotafuna majani kama mbuzi
 
Hao sijui ni polisi wahuni sana, wameona wakitia mfukoni ni msala wakaona wapge kiberiti wavutie palepale [emoji23][emoji23][emoji23]

Hehehehe! Hatari sana..
 
Vipi kuhusu hawa wa kwenu pia? Heroin kapita vipi mnafiki wewe!
 
Vuta bangi wewe first class toka Musoma, wacha maneno mingi
 
Kizuri unakula na ndugu yako wewe,,hujui kwamba 254 ndo ndugu wa karibu wa 255 hiyo mipaka imewekwa tu na wakoloni ndo maana na nyie mnatugawia miraa( mirungi)
 
A Demand determines supply, tunaleta kile kinachohitajika zaidi, na hiyo ni aina moja ya "uwekezaji".

Kuna kaukweli hapa ila hayo mavitu ni balaa, kwenu huko mnayatumia sana nakumbuka hata mkulu wenu aliwashauri mawaziri wawe wanatumia kidogo, ila muwe makini la sivyo mtakua nchi ya vichaa.
Unakumbuka huu utafiti
 
Kuna kaukweli hapa ila hayo mavitu ni balaa, kwenu huko mnayatumia sana nakumbuka hata mkulu wenu aliwashauri mawaziri wawe wanatumia kidogo, ila muwe makini la sivyo mtakua nchi ya vichaa.
Unakumbuka huu utafiti


Demand and supply are the ecomic forces of the free market that control what suppliers are willing to produce and what consumers are willing and able to purchase.

In this case Kenyans are consumers and Tzns are producers, the market indicates that there are more consumers in Kenya than threre are in Tz--- that is why the law of utility took control.🤣🤣.

Sasa usikasirike mkuu kwa jirani zenu Watz kukidhi shida zenu au unataka bangi itoke Ulaya?? !!
 

Biashara baina ya mataifa haifuati basic economic principals, kila taifa huhakikisha watu wake wa ndani wameridhika kwanza kabla kuachia bidhaa iuzwe nje. Kumbuka hata mahindi huwa hamuachii yauzwe hivi hivi, lazima mhakikishe wale walaji wa viwavi Dodoma wamefikiwa na chakula cha kutosha, kuanzia hapo ndio mnatangaza kuuza nje.
 
Kwani ujui raisi Uhuru anatumia mmea? Kenya ni nchi ya kihuni ndiyo maana hizo takataka zinaingia huko
 
Jirani hii cargo ilikuwa inakwenda kwa kaka VIP ilikosea njia au mawasiliano yaliharibika.
 
Wakenya wanapenda sana bangi, hapo wameona wachome kinafiki lakini wananchi wao wengi walikua maeneo ya jirani ili moshi uwafikiee
[emoji23][emoji23][emoji23]
Walikuwa wanafanya kitu kinaitwa . sherehe ya bangi ... Hii kitu mnaweka bangi nyingi na kuizunguka kisha mnawasha moto mnavuta moshi wote Kwa pamoja faida ya huu mtindo wa uvutaji bangi ni kuwa hata polisi wakija amkamatwi mnadai mnateketeza bangi kumbe mpo stimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…