Bangi kutoka Tanzania yatiwa kiberiti Kenya

Kuna kaukweli hapa ila hayo mavitu ni balaa, kwenu huko mnayatumia sana nakumbuka hata mkulu wenu aliwashauri mawaziri wawe wanatumia kidogo, ila muwe makini la sivyo mtakua nchi ya vichaa.
Unakumbuka huu utafiti
Ushasahau kuwa kwenu mnatambulika kimataifa kuwa na tatizo la mental illness ?

 


Nani kakuambia Bangi ni chakula???, Bangi imo katika kundi la madawa (drugs)--- kinachoangaliwa ni wapi kuna wagonjwa wengi ndipo huko dawa hupelekwa, huoni hadi nyinyi wenyewe mnaifuata hadi Ethiopia!!

Hii inaonyesha Kenya ndipo kuna "wagonjwa" wengi wanaohita dawa (Bangi), na mahitaji ni makubwa huko.

Licha ya uvutaji kwa wingi huko, pia nimesikia kuna viwanda vya uchakataji wa bangi vinavyotoa ajira kwa vijana huko, na wote wanaofanya kazi humo sharti ni wawe wavutaji.

By hooks or crooks, We are going to maintain the market.
 

Tanzania inaongoza kwa matumizi ya bangi, sio taarifa zangu mimi...soma hapa https://www.voaswahili.com/a/tanzania-inaongoza-eac-katika-matumizi-ya-bangi-ripoti/4934244.html
 
Afadhali ya bangi kuliko miraaa,
Mbona wanawake wenu hulalamika kuhusu waume zao kula miraa?
Hadi wengine kukimbia waume zao.

Kama unafahamu kingereza au katafute mtu asome na akutafsirie uchunguzi huu wa kitaalam kuhusu wanaume na miraa

Wanawake wenu ndio hukodi wanaume kutoka huku maana mumeshindwa nyie
https://www.facebook.com/
Pia wanawake wenu wengi wanatumia ugoro ili kuondoa hamu maana mumeshindwa
 
Kuliko kuichoma si bora wangeirudisha tuivute huku bongo.

Kwani huyo mshikaji wa hapo Ikulu Uhuru, sikuizi kaacha kupiga cha Arusha.
 
Wanawake zenu huandamana kutokana na nyie wanaume wa kenya kushindwa kuwaridhisha [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Nyingine hii hapa [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Waache walipize na wao maana hata kwetu tulichoma vifaranga vyao
 
Wakenya wanapenda sana bangi, hapo wameona wachome kinafiki lakini wananchi wao wengi walikua maeneo ya jirani ili moshi uwafikiee
[emoji23][emoji23][emoji23]

Walichoma huku roho inawauma.
 
Sisi tunachoma VIFARANGA nyie mnachoma BANGI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…