Bangi mbaya

Bangi mbaya

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,106
Reaction score
14,353
Mvuta bangi kaposa mtoto wa kike mwembamba sana. Siku ya harusi mama mtu akamzungushia mwanae
magazeti apate kuonekana kajazia. Harusi ikapita, muda wa kulala ulipofika, jamaa akataka haki ya ndoa kumvua nguo.

Akakuta gazeti. Kila akichana anakuta gazeti lingine, akachoka! Akauliza kwa ukali, 'kwani vipi?' Bibi harusi akajibu, 'sijui mama...!!' Jamaa akampigia simu mama mkwe...

'Hallow mamamkwe... uchi wa mwanao upo ukurasa wa ngapi?.' Siku njema.
 
Hahahahahaaaaaa! Haloooo upo ukurasa wa kumi na nane!
 
Hahaa... kweli bangi noma, juzi kati nilipiga chafya nikaona dizain km moshi umetoka vile
 
ha ha ha ha ha ha ha ha makaveli nawe watumia hii kitu
 
Mvuta bangi kaposa mtoto wa kike mwembamba sana. Siku ya harusi mama mtu akamzungushia mwanae
magazeti apate kuonekana kajazia. Harusi ikapita, muda wa kulala ulipofika, jamaa akataka haki ya ndoa kumvua nguo.

Akakuta gazeti. Kila akichana anakuta gazeti lingine, akachoka! Akauliza kwa ukali, 'kwani vipi?' Bibi harusi akajibu, 'sijui mama...!!' Jamaa akampigia simu mama mkwe...

'Hallow mamamkwe... uchi wa mwanao upo ukurasa wa ngapi?.' Siku njema.
Hahahaha
 
Kazungushiwa magazeti kama wemaeli sepenga [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom