Bangi ndio dawa inayoongoza kwa kutumika Tanzania

Bangi ndio dawa inayoongoza kwa kutumika Tanzania

Notorious thug

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2021
Posts
2,817
Reaction score
10,667
Kama tulivyoaminishwa na hao wanaojiita wataalamu Bangi wanasema ni madawa ya kulevya ila cha ajabu dawa hii ndio inayoongoza kwa kutumiwa nchini Tanzania. Watu wanaitumia kumaliza stress, kujipongeza, kujitibu, kufukuza mapepo, kupata nguvu ya kufanya kazi na kuongeza ujasiri
20230530_164030.jpg
 
Back
Top Bottom