Kama tulivyoaminishwa na hao wanaojiita wataalamu Bangi wanasema ni madawa ya kulevya ila cha ajabu dawa hii ndio inayoongoza kwa kutumiwa nchini Tanzania. Watu wanaitumia kumaliza stress, kujipongeza, kujitibu, kufukuza mapepo, kupata nguvu ya kufanya kazi na kuongeza ujasiri