Bangi, Ngono na unga Ndiyo ustaa?

Bangi, Ngono na unga Ndiyo ustaa?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
Kila siku lazima tusikie wasanii wakitajwa kwa kubadili wenza, kutumia madawa ya kulevya, uvutaji wa bangi, na mauza uza mengine mengi tu kama vile kutuhumiana kutumia ushirikina ili kung'arisha nyota zao. Hivi haiwezekani ukawa msanii maarufu bila ya kujihusisha na mambo kama hayo?
 
Mambo yao unayasikia sana kwavile wao ni watu maarufu tu,kinyume na hivo uwenda walioko kitaa ni zaidi ya hao unaowasikia,ila hawa wa kitaa wamekosa umaarufu tu.
 
Back
Top Bottom