Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kila siku lazima tusikie wasanii wakitajwa kwa kubadili wenza, kutumia madawa ya kulevya, uvutaji wa bangi, na mauza uza mengine mengi tu kama vile kutuhumiana kutumia ushirikina ili kung'arisha nyota zao. Hivi haiwezekani ukawa msanii maarufu bila ya kujihusisha na mambo kama hayo?