Bangi ni mbaya sana

Michango ya WADAU ndio iliyonileta hapa
 
Write your reply...nilitaka nikumbatie kwa mbele Lori la mafuta kampuni ya GBP lilikuwa linakuja kasi bila wasamaria wema nngekuwa ahera madukani
 
Hata kwa hela hii kitu sitii mdomoni mwangu, nakijua kichwa changu na bd nakumbuka kilichomtokea jamaa yangu baada ya kutest.

Ila nimegundu JF kuna fyatu wengi sanaa,
Mods humu wakisema watembeze ban kwa kila kosa watabaki wenyewe
 

Attachments

  • 20190217_092402.jpeg
    63.9 KB · Views: 21
Safi kabisa kwa kuchagua dini ya haki ya wavuta bangi
 
Yeah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara paaaap..Research WHO..imegundulika Uvutaji wa Bangi unaongeza Nguvu za Kiume..God help us....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya Explain kwanini ukivuta bangi unakaa juu ya TV halafu unaangalia masofa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…